Unatumia kiasi cha gani cha Fedha kwa mwezi kwa ajili ya bando la Intaneti?

Mie nataka nihamie halotel kumbe nao hawaeleweki 🫢
Halotel shida yao wezi wa mb yaan hapo tu ndio wananikera. Nachowapendea bando zao ukiunga hawakukati kama mitandao mengne yaan ukiunga bando jipya kabla la zaman halijaisha wanakuunganishia yote na muda unaongezeka ila sasa mb zinavyokatika utafurah yaan.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na huuu wizi wameanza majuzi tu zamani hawakuwa hivi

Bora uhamie tigo tu kwa kina rostam tu huko ndo slope zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…