"Na mji wowote mtakaouingia, wakiwakaribisha, vileni vyakula viwekwavyo mbele yenu."Wadau , tupeane mbinu za kukwepa kula chakula ugenini pale unapokaribishwa Pasipo kuzusha sintofahamu kwa wenyeji wako hadi wajisikie vibaya..
Na sababu za kutokula ugenini kunaweza changiwa na mambo mengi ; mazingira ya uandaaji chakula, kupikiwa chakula usichoendana nacho kiimani mfano pork n.k au pia kuepuka kuwapa bajeti isiyokuwa na ulazima na mambo mengi...
View attachment 3442412
Wengine wanakaribisha ile kimazoea tu ,kiuhalisia chakula ni kidogo na umefika muda ambao wameshapika tayari.Sijawahi na siwezi kukataa misosi ugenini au mahali popote. Weka msosi mezani tuupige.
Wasukuma kuhusu chakula sio shida zao mavyakula yapo tele.Kwa Wasukuma ukikataa chakula unapokaribishwa unaonekana mchoyo
Haitakiwi kuvuga hata kama umeshiba
Ukikaribishwa nawa kulaWasukuma kuhusu chakula sio shida zao mavyakula yapo tele.
Na mtu aonekane ameshiba hatakiwi kumaliza chakula.
Shida kuna jamii unaenda kula yao shida, chakula kimepikwa kidogo na wanalazimisha mno ule licha kusema umeshiba.
Wengine wakikukaribisha ya mara kwanza ukivunga wanakaushaHii inaboa, umekaribisha mtu akasema ameshiba , haina haja kumlazimisha.
Utasimangwa umeharibu bajeti yaoUkikaribishwa nawa kula
Utakapoondoka hata wakikusimanga poa
Na inabidi iwe hivyoWengine wakikukaribisha ya mara kwanza ukivunga wanakausha
Utakula Kwa macho😁
Hapo ndo kisanga, unaweza kuta umepiga share za watu wengine ukiondoka ni lawama.Wengine wanakaribisha ile kimazoea tu ,kiuhalisia chakula ni kidogo na umefika muda ambao wameshapika tayari.
Ubaya wanalazimisha mpaka kero.
Hamna kubembelezana 🤣🤣🤣Na inabidi iwe hivyo
Mtu akikwambia ameshiba muelewe kinyume na hapo ni kero.Hamna kubembelezana 🤣🤣🤣