Miguel Alvarez
JF-Expert Member
- May 28, 2019
- 3,349
- 6,423
Hakika mkuuMtu akikwambia ameshiba muelewe kinyume na hapo ni kero.
Kuna vyakula pia mtu sio vyakula vyake mfano mimi makande sili hamna hamna labda yawekwe na maziwa .
Hakika mkuuMtu akikwambia ameshiba muelewe kinyume na hapo ni kero.
Kuna vyakula pia mtu sio vyakula vyake mfano mimi makande sili hamna hamna labda yawekwe na maziwa .
Au unafika sehemu unakuta chakula ambacho hukijui kabisa japo jamii ya hiyo sehemu ndio chakula chao.Hakika mkuu
Njia sahihi ya kukwepa kula ugenini ni kwenda kinyume na ratiba ya kawaida ya chakula.Wadau , tupeane mbinu za kukwepa kula chakula ugenini pale unapokaribishwa Pasipo kuzusha sintofahamu kwa wenyeji wako hadi wajisikie vibaya..
Na sababu za kutokula ugenini kunaweza changiwa na mambo mengi ; mazingira ya uandaaji chakula, kupikiwa chakula usichoendana nacho kiimani mfano pork n.k au pia kuepuka kuwapa bajeti isiyokuwa na ulazima na mambo mengi...
View attachment 3442412
Njia sahihi ya kukwepa kula ugenini ni kwenda kinyume na ratiba ya kawaida ya chakula.
Na muda sahihi kwenda kutembelea ugenini ni asubuhi na uondoke kabla mchana haujafika, ukikuta wanataka kula asubuhi ni rahisi kuwadanganya kwa kuwaambia kuwa umetumia dawa za Minyoo ambapo imeshauriwa ukae masaa sita ndiyo ule chakula ili dawa ifanye kazi kwa ufanifsi.
Ama utembelee kuanzia saa tisa alasiri ama kumi jioni mida hii familia nyingi zinakuwa zimeshakula chakula cha mchana na uondoke kabla ya saa kumi na mbili jioni ukisingizia unawahi usafiri ili ufike kabla ya giza
Niko kwenye mfungo,.Wadau , tupeane mbinu za kukwepa kula chakula ugenini pale unapokaribishwa Pasipo kuzusha sintofahamu kwa wenyeji wako hadi wajisikie vibaya..
Na sababu za kutokula ugenini kunaweza changiwa na mambo mengi ; mazingira ya uandaaji chakula, kupikiwa chakula usichoendana nacho kiimani mfano pork n.k au pia kuepuka kuwapa bajeti isiyokuwa na ulazima na mambo mengi...
View attachment 3442412
Wewe hujawahi kumtembelea jamaa yako lkn mke wake anajihusisha na mambo ya kichawi, mfno kitumbua kukipitisha kwenye KSijawahi na siwezi kukataa misosi ugenini au mahali popote. Weka msosi mezani tuupige.
Wewe ndo mimi sitakagi kulazimishwa chakulaMi ukinikaribisha sana nachukia...yaan nakujibu kiukali hutonipenda
Napendaga watu warefu wana vitu spesho sana.Unaomba upunguziwe tu kistaarabu au wasikuzingatie ushakula ulipotoka.
Ila kama unakaa hapo kwa muda huna budi kula mfano sisi watu warefu/wanene tukikataa chakula tunaonekana tunaringa...
Una nyege.Mi ukinikaribisha sana nachukia...yaan nakujibu kiukali hutonipenda
Aah kumekuchaNapendaga watu warefu wana vitu spesho sana.
😀😀😀😀😀Aah kumekucha