Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
Ya hovyoKwamba ugali na majani ya maboga ni mavyakula?
Ya hovyoKwamba ugali na majani ya maboga ni mavyakula?
Hayo makitu siyapendi balaaVyakula vyangu hivyo jamani 😂
Duh basi uliendana nao Mimi VINYWAJI vya kiasili sivitumii mbaya zaidi unaambiwa ukikataa ni tabia mbaya si vzur inakuradhimu hata uonje tuHahah,
Mi niliwahi kuishi huko Mafinga ndani, wao bwana walikuwa ni ulanzi (bamboo juice) ndio kitu kinapatikana kwao na muda mwingi nikienda ndio nakaribishwa huo sikuwa navunga ni kupita nao tu mpaka nalewa na nikauzoea.
Kmmmk😃 😀 , za baridi sioKamua msosi ukimaliza omba na bia mbili kama zipo ushushie....kama hamna toa hela zifatwe