Hance Mtanashati JF-Expert Member Joined Sep 7, 2016 Posts 25,968 Reaction score 36,044 Aug 17, 2025 #61 Lone warrior said: Kwamba ugali na majani ya maboga ni mavyakula? Click to expand... Ya hovyo
Hance Mtanashati JF-Expert Member Joined Sep 7, 2016 Posts 25,968 Reaction score 36,044 Aug 17, 2025 #62 MamaZion said: Vyakula vyangu hivyo jamani 😂 Click to expand... Hayo makitu siyapendi balaa
B Bibiharusi JF-Expert Member Joined Jul 6, 2025 Posts 386 Reaction score 431 Aug 17, 2025 #63 Blank page said: Hahah, Mi niliwahi kuishi huko Mafinga ndani, wao bwana walikuwa ni ulanzi (bamboo juice) ndio kitu kinapatikana kwao na muda mwingi nikienda ndio nakaribishwa huo sikuwa navunga ni kupita nao tu mpaka nalewa na nikauzoea. Click to expand... Duh basi uliendana nao Mimi VINYWAJI vya kiasili sivitumii mbaya zaidi unaambiwa ukikataa ni tabia mbaya si vzur inakuradhimu hata uonje tu
Blank page said: Hahah, Mi niliwahi kuishi huko Mafinga ndani, wao bwana walikuwa ni ulanzi (bamboo juice) ndio kitu kinapatikana kwao na muda mwingi nikienda ndio nakaribishwa huo sikuwa navunga ni kupita nao tu mpaka nalewa na nikauzoea. Click to expand... Duh basi uliendana nao Mimi VINYWAJI vya kiasili sivitumii mbaya zaidi unaambiwa ukikataa ni tabia mbaya si vzur inakuradhimu hata uonje tu
kitalembwa JF-Expert Member Joined Jul 12, 2014 Posts 8,216 Reaction score 21,914 Aug 17, 2025 #64 Evelyn Salt said: Kamua msosi ukimaliza omba na bia mbili kama zipo ushushie....kama hamna toa hela zifatwe Click to expand... Kmmmk😃 😀 , za baridi sio
Evelyn Salt said: Kamua msosi ukimaliza omba na bia mbili kama zipo ushushie....kama hamna toa hela zifatwe Click to expand... Kmmmk😃 😀 , za baridi sio