Mambo ni mengi mkuuUnavuta wote uachi ata mia [emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana,Nina mpenz mchoyoHahahaha una bwana?
Ka milioni siku 15,Bata kwa sana,maisha haya noma!Hi
Guys iv unatumia siku ngapi kumaliza mshahara wako wote mimi kwangu huwa siku tano naanza kukopa tenaa yaani upya ila nikipata tu kabla sijalipa madeni natenga 30000 ya kula kitu nachokitaka kwa muda uho kama ni birian nakula sio mtu wa madem mimi kwahiyo kula na out ndio starehe yangu
Wewe mwezangu unatumia siku ngapi?