Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ElewekaHapana,Nina mpenz mchoyo
NakuhitajiEleweka
Ukitoka saa tano umeisha kisha ninachukua salary advance. Kesho yake ninachukua mshiko faster wa NMBMimi wangu kama hauna matumizi mengi utatutosha wawili au nakuachia ote wewe
Karibu piem
Naomba range ya mshahara wako mkuuSiku 30
Sinywi pombe
Sio mvutaji
Nina familia
Kikubwa ni kupanga bajeti na kuishi maisha Yako halisi sio ya kuigiza.
1.2M take home.Naomba range ya mshahara wako mkuu
Ok. So natakiwa kupambana kupata kazi ya mshahara huo take home1.2M take home.
Mimi suala la bajeti lilishanishinda, bajeti haipangiliki, michango ya harusi, bia,wazazi,nduguKama una familia unanunua mahitaji yote, chakula ,umeme, maji n.k inayobaki unaweka akiba, bila bajeti uwezi kama mwanaume unatakiwa kujua bajeti ya familia yako kwa mwezi hapo ndo unajua unatakiwa kutafuta pesa kiasi gani