Unatumia siku ngapi kumaliza Mshahara wako wote?

Unatumia siku ngapi kumaliza Mshahara wako wote?

Ni jambo la.kustaajabusha sana hii rat race. Kabla haujatoka mshahara, mipango ni mingi na kedekede, ukishatoka sasa......
Cha muhim uhai.
Angalizo, siku ukilala njaa hautaamini hii dunia. Njaa ni mbaya sana waungwana.
 
Hi

Guys iv unatumia siku ngapi kumaliza mshahara wako wote mimi kwangu huwa siku tano naanza kukopa tenaa yaani upya ila nikipata tu kabla sijalipa madeni natenga 30000 ya kula kitu nachokitaka kwa muda uho kama ni birian nakula sio mtu wa madem mimi kwahiyo kula na out ndio starehe yangu

Wewe mwezangu unatumia siku ngapi?
Ni kama wewe tuu baada ya kuona hivyo tuliamua kuacha kazi kabisa
 
Hi,

Guys hivi unatumia siku ngapi kumaliza mshahara wako wote mimi kwangu huwa siku tano naanza kukopa tenaa yaani upya ila nikipata tu kabla sijalipa madeni natenga 30000 ya kula kitu nachokitaka kwa muda huo kama ni biriyani nakula, sio mtu wa mademu mimi kwahiyo kula na out ndio starehe yangu.

Wewe mwezangu unatumia siku ngapi?

Wewe unakopa kwa kukosa mpangilio. Biriani Masaki ni Tzs 8,000 mpaka 15,000/-. Sinza ni 4,000! Hii ya 30,000/- umesikia wapi?

Pamoja na maisha kuwa magumu, kukopa sana inamaanisha unaishi maisha yasiyo yako. Adjust maisha ujitoe kwenye madeni. Kuna njia kadhaa za kusevu, pamoja na kubeba lunch na maji ya kunywa kwenda navyo kazini (wazungu wanabeba tumikate na nyanya).
 
Hi,

Guys hivi unatumia siku ngapi kumaliza mshahara wako wote mimi kwangu huwa siku tano naanza kukopa tenaa yaani upya ila nikipata tu kabla sijalipa madeni natenga 30000 ya kula kitu nachokitaka kwa muda huo kama ni biriyani nakula, sio mtu wa mademu mimi kwahiyo kula na out ndio starehe yangu.

Wewe mwezangu unatumia siku ngapi?
Maximum siku 9
 
Back
Top Bottom