Mpandisha mishahara
JF-Expert Member
- Mar 1, 2014
- 1,742
- 1,558
Waajiliwa mnamaisha magumu yenye stress, Yani kula biriyani nayo unaiwekea budget
[emoji1]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waajiliwa mnamaisha magumu yenye stress, Yani kula biriyani nayo unaiwekea budget
Inaonyesha huna bajeti maalumu. Kiasi ukipatacho unakijua (netpay), madeni uliyonayo unayajua, matumizi yako unayajua, unaweka akiba kiasi gani unajua, KAMA VYOTE HIVYO UNAVIJUA, MSHAHARA WAKO UNATAKIWA UISHE KABLA HUJAUPATA.Hi,
Guys hivi unatumia siku ngapi kumaliza mshahara wako wote mimi kwangu huwa siku tano naanza kukopa tenaa yaani upya ila nikipata tu kabla sijalipa madeni natenga 30000 ya kula kitu nachokitaka kwa muda huo kama ni biriyani nakula, sio mtu wa mademu mimi kwahiyo kula na out ndio starehe yangu.
Wewe mwezangu unatumia siku ngapi?
🤦♀️Hi,

🤦♀️Inaonyesha huna bajeti maalumu. Kiasi ukipatacho unakijua (netpay), madeni uliyonayo unayajua, matumizi yako unayajua, unaweka akiba kiasi gani unajua, KAMA VYOTE HIVYO UNAVIJUA, MSHAHARA WAKO UBATAKIWA UISHE KABLA HUJAUPATA.
Hapa nilipo, mshahara wa mwezi juni 2023 umeshaisha kabla hata sijaupata
5 minutesHi,
Guys hivi unatumia siku ngapi kumaliza mshahara wako wote mimi kwangu huwa siku tano naanza kukopa tenaa yaani upya ila nikipata tu kabla sijalipa madeni natenga 30000 ya kula kitu nachokitaka kwa muda huo kama ni biriyani nakula, sio mtu wa mademu mimi kwahiyo kula na out ndio starehe yangu.
Wewe mwezangu unatumia siku ngapi?
Kama unaweza kuweka robo tatu ya mshahara uko pazuri mkuusiku moja tu robo tatu naweka akiba inayobaki kulipa madeni, kununua chakula na kadhaa ya kununua vitu vinavyohitajika ndani ya mwezi mzima aisee harakti za kutafuta ngumu sana
Hatar sana 😂😂Inaonyesha huna bajeti maalumu. Kiasi ukipatacho unakijua (netpay), madeni uliyonayo unayajua, matumizi yako unayajua, unaweka akiba kiasi gani unajua, KAMA VYOTE HIVYO UNAVIJUA, MSHAHARA WAKO UBATAKIWA UISHE KABLA HUJAUPATA.
Hapa nilipo, mshahara wa mwezi juni 2023 umeshaisha kabla hata sijaupata
Wewe sasa ahahah umezidi kiboko sana 😂😂😂Nikipata asubuhi jioni sina kitu naanza kulia lia wife animegee fungu la matumizi nililompa! Na yeye alivyo konki utasikia sina kitu! Namtim akizubaa baada ya siku mbili utasikia umeniibia elf 30 yangu! Hate this kind of life
😊Kama unaweza kuweka robo tatu ya mshahara uko pazuri mkuu
Hatari sana!Wewe sasa ahahah umezidi kiboko sana 😂😂😂
Hata sio kuhonga bana vibia vya hapa na pale sema nikipata salo sitaki usumbufu namkatia fungu la kumaliza mwezi mi nipo kama sipo siulizwi chochoteIla shemeji kibokoo sana et umeniibia 30000 yangu af umeiba unaenda kuhonga 😂😂😂😂