Unatumia siku ngapi kumaliza Mshahara wako wote?

Hi,

Guys hivi unatumia siku ngapi kumaliza mshahara wako wote mimi kwangu huwa siku tano naanza kukopa tenaa yaani upya ila nikipata tu kabla sijalipa madeni natenga 30000 ya kula kitu nachokitaka kwa muda huo kama ni biriyani nakula, sio mtu wa mademu mimi kwahiyo kula na out ndio starehe yangu.

Wewe mwezangu unatumia siku ngapi?
Inaonyesha huna bajeti maalumu. Kiasi ukipatacho unakijua (netpay), madeni uliyonayo unayajua, matumizi yako unayajua, unaweka akiba kiasi gani unajua, KAMA VYOTE HIVYO UNAVIJUA, MSHAHARA WAKO UNATAKIWA UISHE KABLA HUJAUPATA.

Hapa nilipo, mshahara wa mwezi juni 2023 umeshaisha kabla hata sijaupata
 
Hi,

Guys hivi unatumia siku ngapi kumaliza mshahara wako wote mimi kwangu huwa siku tano naanza kukopa tenaa yaani upya ila nikipata tu kabla sijalipa madeni natenga 30000 ya kula kitu nachokitaka kwa muda huo kama ni biriyani nakula, sio mtu wa mademu mimi kwahiyo kula na out ndio starehe yangu.

Wewe mwezangu unatumia siku ngapi?
🤦‍♀️
 
Inaonyesha huna bajeti maalumu. Kiasi ukipatacho unakijua (netpay), madeni uliyonayo unayajua, matumizi yako unayajua, unaweka akiba kiasi gani unajua, KAMA VYOTE HIVYO UNAVIJUA, MSHAHARA WAKO UBATAKIWA UISHE KABLA HUJAUPATA.

5 minutes
 
Hatar sana 😂😂
 
Nikipata asubuhi jioni sina kitu naanza kulia lia wife animegee fungu la matumizi nililompa! Na yeye alivyo konki utasikia sina kitu! Namtim akizubaa baada ya siku mbili utasikia umeniibia elf 30 yangu! Hate this kind of life
 
Back
Top Bottom