Unatumia siku ngapi kumaliza Mshahara wako wote?

Ni jambo la.kustaajabusha sana hii rat race. Kabla haujatoka mshahara, mipango ni mingi na kedekede, ukishatoka sasa......
Cha muhim uhai.
Angalizo, siku ukilala njaa hautaamini hii dunia. Njaa ni mbaya sana waungwana.
 
Ni kama wewe tuu baada ya kuona hivyo tuliamua kuacha kazi kabisa
 

Wewe unakopa kwa kukosa mpangilio. Biriani Masaki ni Tzs 8,000 mpaka 15,000/-. Sinza ni 4,000! Hii ya 30,000/- umesikia wapi?

Pamoja na maisha kuwa magumu, kukopa sana inamaanisha unaishi maisha yasiyo yako. Adjust maisha ujitoe kwenye madeni. Kuna njia kadhaa za kusevu, pamoja na kubeba lunch na maji ya kunywa kwenda navyo kazini (wazungu wanabeba tumikate na nyanya).
 
Maximum siku 9
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…