Unatumia usd billion 7+ kujenga mradi wa train ya umeme halafu unampa mtu amabye hana uzoefu wowote wa kusimamia hiki ni kichekesho

Serikali kuimiliki TRC kwa asilimia 100 ni kosa kubwa linalomfanya Mkurugenzi wa TRC na management yake kujisemea lolote akijua kuwa akimtaja taja Samia kwa kila sentensi bado ataendelea kuwepo kileleni.

TRC inapaswa kuchukua mkondo wa TBL, TCC, TPCC, Swissport, NMB, CRDB n.k...... Kwa kupunguza umiliki wa Serikali kwa kuorodhesha hisa za TRC kwenye soko la hisa ili wananchi tununue na kumiliki mali hizi zinazoitwa za umma.

Hii itasaidia sana kumdhibiti Kadogosa na management yake kwa kuhakikisha TRC inaendeshwa kwa faida na hakuna mipango ya zimamoto kama hii ya kununua injini za diesel ambayo inaturudisha nyuma miaka 100.
 
Ukituatilia mambo mengi ya serikali yaavyoendeshwa utakubaliana na mimi hii nchi mambo mengi yanaendeshwa kimchongo

Watu walioko serikalini hawana uwezo wa kufikiria miaka 3 mbele itakuaje maamuzi yao mengi ni watapata nini wakati huu ni mwendo wa shortcut

Mfano TRC wanataka kununua engine za diesel ni kituko ila hawana mshipa wa aibu watanunu-mimi tokea kipindi cha magufuli niliona kwa mtazamo wangu binafsi hii train ingetakiwa iishie dodoma kwanza isiendelee mpaka huko mwanza na kigoma

Sababu ni kama nchi hatuna uwezo wa rasilimali watu kwenye management wanaoweza simamia mradi kama huu wa umeme kumbuka mwendokasi imeishinda serikali

Hata ingewezekana ceo wa TRC angetakiwa aletwe foreigner ambaye alishawahi kufanya kazi kwenye train za umeme anajua changamoto zake na namna ya kuzikabili

Kadogoso naamini hana uzoefu wowote wa kusimamia mirad ya train ya umeme yaani umetumia usd billion 7+ kujenga mradi alafu unampa mtu amabye ana-uzoefu wowote wa kusimamia mradi wa umeme hiki ni kichekesho

sisi waafrika kwenye management bado sana tunamambo mengi sana ya kujifunza sababu upeo wetu kama waafrika ni mdogo hatufikirii mbali ndo shida inapoanzia hapo

Hawa watu wanafanya experiments na mali, uhai na hata mustakabali wa watanzania.

Siamini kabisa kama katika wateule kuendesha mashirika ya kibiashara ya umma kwa mafanikio.

Mwendokasi, TTCL, Tazara, Air Tanzania, TRC, yote yanaenda enda tu. Hawajui kuuaendesha kibiashara.

Ni PUMA, Airtel na mengine machache peke yake ambayo inaendeshwa kwa mafanikio

Kadogosa ameongoza TRC na hana maajabu. Na hataleta maajabu yoyote yale maana hana uwezo wala weledi wa kuendesha hiyo biashara
 
Serikali kuimiliki TRC kwa asilimia 100 ni kosa kubwa linalomfanya Mkurugenzi wa TRC na management yake kujisemea lolote akijua kuwa akimtaja taja Samia kwa kila sentensi bado ataendelea kuwepo kileleni.

TRC inapaswa kuchukua mkondo wa TBL, TCC, TPCC, Swissport, NMB, CRDB n.k...... Kwa kupunguza umiliki wa Serikali kwa kuorodhesha hisa za TRC kwenye soko la hisa ili wananchi tununue na kumiliki mali hizi zinazoitwa za umma.

Hii itasaidia sana kumdhibiti Kadogosa na management yake kwa kuhakikisha TRC inaendeshwa kwa faida na hakuna mipango ya zimamoto kama hii ya kununua injini za diesel ambayo inaturudisha nyuma miaka 100.

Kwenye serikali ambayo watu hawana uwajibikaji, sio sahihi waendelee kuyaendesha mashirika ya umma.
Aliyeua mwendokasi amefanywa nini?😂😂😂😍
 
Ukituatilia mambo mengi ya serikali yaavyoendeshwa utakubaliana na mimi hii nchi mambo mengi yanaendeshwa kimchongo

Watu walioko serikalini hawana uwezo wa kufikiria miaka 3 mbele itakuaje maamuzi yao mengi ni watapata nini wakati huu ni mwendo wa shortcut

Mfano TRC wanataka kununua engine za diesel ni kituko ila hawana mshipa wa aibu watanunu-mimi tokea kipindi cha magufuli niliona kwa mtazamo wangu binafsi hii train ingetakiwa iishie dodoma kwanza isiendelee mpaka huko mwanza na kigoma

Sababu ni kama nchi hatuna uwezo wa rasilimali watu kwenye management wanaoweza simamia mradi kama huu wa umeme kumbuka mwendokasi imeishinda serikali

Hata ingewezekana ceo wa TRC angetakiwa aletwe foreigner ambaye alishawahi kufanya kazi kwenye train za umeme anajua changamoto zake na namna ya kuzikabili

Kadogoso naamini hana uzoefu wowote wa kusimamia mirad ya train ya umeme yaani umetumia usd billion 7+ kujenga mradi alafu unampa mtu amabye ana-uzoefu wowote wa kusimamia mradi wa umeme hiki ni kichekesho

sisi waafrika kwenye management bado sana tunamambo mengi sana ya kujifunza sababu upeo wetu kama waafrika ni mdogo hatufikirii mbali ndo shida inapoanzia hapo
Ccm ni mchwa hawashibi
 
Kwenye serikali ambayo watu hawana uwajibikaji, sio sahihi waendelee kuyaendesha mashirika ya umma.
Aliyeua mwendokasi amefanywa nini?😂😂😂😍
Kaishia kuamishwa sehemu nyingine
Tanzania mtu anafanya madudu alafu anaishia kuamishwa yaani uwajibikaji ni zero
 
Kiukweli hapa mama Samia katukosea sana watanzania.yaani anataka katurudisha enzi za ukoloni za kumiliki treni za diesel.Anatuhujumu Kwa kuwa yeye ni mkimbizi wa zanzibar.anajua baada ya kumaliza urithi wake atahamia zanzibar
 
tunachoweza ni uchawa, fitna,chuki na ushirikina.
umaskini wa kupindukia kifikra na kiuchumi bado ni janga la taifa.
 
Siku tukiacha kuendesha nchi kisiasa ndio tutapata maebdeleo. Mwanasiasa anateua CEO wa TRC unategemea nini hapo. Mtu anayeteuliwa anaweza kukaa miwzi 6 akahamishiwa Posta etc
 
Ukituatilia mambo mengi ya serikali yaavyoendeshwa utakubaliana na mimi hii nchi mambo mengi yanaendeshwa kimchongo

Watu walioko serikalini hawana uwezo wa kufikiria miaka 3 mbele itakuaje maamuzi yao mengi ni watapata nini wakati huu ni mwendo wa shortcut

Mfano TRC wanataka kununua engine za diesel ni kituko ila hawana mshipa wa aibu watanunu-mimi tokea kipindi cha magufuli niliona kwa mtazamo wangu binafsi hii train ingetakiwa iishie dodoma kwanza isiendelee mpaka huko mwanza na kigoma

Sababu ni kama nchi hatuna uwezo wa rasilimali watu kwenye management wanaoweza simamia mradi kama huu wa umeme kumbuka mwendokasi imeishinda serikali

Hata ingewezekana ceo wa TRC angetakiwa aletwe foreigner ambaye alishawahi kufanya kazi kwenye train za umeme anajua changamoto zake na namna ya kuzikabili

Kadogoso naamini hana uzoefu wowote wa kusimamia mirad ya train ya umeme yaani umetumia usd billion 7+ kujenga mradi alafu unampa mtu amabye ana-uzoefu wowote wa kusimamia mradi wa umeme hiki ni kichekesho

sisi waafrika kwenye management bado sana tunamambo mengi sana ya kujifunza sababu upeo wetu kama waafrika ni mdogo hatufikirii mbali ndo shida inapoanzia hapo
Naongezea,kuna baadhi ya kona zimeanza kuharibika,wasizembee kwenye maintanance,hii train kwa speed ya 160 km/h iko siku itaacha njia...
 
Timu za mpiravtu tunatafuta kocha kutoka ughaibuni itakuwa treni twna ya umeme. Au hawajui bil 7!!
 
umetumia usd billion 7+ kujenga mradi alafu unampa mtu amabye ana-uzoefu wowote wa kusimamia mradi

BODI YA USAJILI WA WABUNIFU MAJENGO NA WAKADIRIAJI MAJENZI YASEMA MRADI WA SGR RELI MPYA UNA MAPUNGUFU

View: https://m.youtube.com/watch?v=roxRSJTigHw

mwenyekiti wa bodi mbunifu wa majengo (Quantity Surveyor) Dr. Ludigija Boniface Bulamile akiongea kwa niaba ya ujumbe alioongozana nao wamegundua yafuatayo :
  • Kuna uwazi mkubwa baina ya behewa na platform kiasi ni hatari kwa abiria wanaotaka kupanda na kushuka wanaweza kutumbukia. Mradi wa SGR haukuzingatia usalama kama mradi wa Mabasi ya Mwendokasi BRT Dar es Salaam ambapo hakuna gepu (nafasi / uwazi ) mkubwa baina ya platform na basi la mwendookasi
  • Hakuna wazawa katika nafasi za kitaalamu za juu, ingawa TRC inasema 95% ya wafanyakazi ni wazawa lakini wazawa hawa nafasi zao ni ufundi mchundo kwenda chini. AQRB inashauri nafasi za utalamu wa juu katika mradi wa SGR uongeze wazawa ili wageni wakiondoka wazawa waweze kuongoza operations, ukarabati na uhudumiaji njia, mabehewa, njia za umeme, signals n.k
  • Njia za reli kupishana hazitoshi, na ili ufanisi upatikane kuna haja ya kuongeza njia ya pili badala ya sasa ambapo treni husubiriana, ingawa TRC wanasema kwa sasa siyo changamoto
  • Bodi ya QARB yasisitiza tangu mwanzo wataalamu watumike kwa kuwa wanafanya kazi kwa kuzingatia vipimo, matumizi, usalama na vigezo
  • n.k
 
Back
Top Bottom