Hizi mambo za engineering, mining, power plants, port nk huwa tunapigwa kila siku.
Kwanini issue yakuwa na reliable supplies ya umeme inatushinda kwenye hiyo SGR?
Root cause ya tatizo ni nini?
Umeme wenyewe mdogo, unakatikatika, au miundombinu ya Tanesco ni mibovu?
Rahisi sana, naomba nitoe Elimu ya bure Leo.
1. Serikali inunue mitambo ya Songas, gas turbines itumike kama standby plants kwenye sensitive business zote kama hii SGR, ule mitambo utakuwa kama backup power incase kuna power problem.
2. Namba moja ikigoma, Ile 100MW Ubungo power plant iwe ndio standby plant, zile gas engines ziwe well maintenained kwa ajili ya standby cases, inakuwa backup line kwa ajili ya Hospitali kubwa zoote, SGR, Bandarini na some military camps, nayo inunuliwe haraka hata 40MW siemens au Royce Roy's gas turbine ikae pale kama backup yake pia.
3. Option 1&2 zikigoma, Ile gas pipeline imetokea mikoa ya kusini na kuja Ubungo pale, haraka ijengwe reducing station mahala na hiyo junction supply iende straight pugu, hapo pugu fungeni gas turbine la hata 20MW na some standby gas genset au turbines ziwe specifically Kwa ajili ya hiyo SGR.
Smooth running ya SGR inahitaji proper power supply ambayo reliability na availability ni 💯.
TUACHE MIZAHA.