Hapana Kabisa. Asingekatwa? Kwanini hakuondoka mapema mpaka akatwe. Awe mwanachama tu. Chadema msicheze na akili za Watu. Binafsi sitaki kusikia kitu kama hicho. Yeye shame lakini Rais wetu tunaye naye ni Dr. Slaa.
Ndio....
Unajua maana ya kura ya maoni?!Nasema toka moyoni Kabisa tena kwa uchungu Chadema acheni hii mambo. Kama mnapima upepo nawaomba Kabisa. Mtatuambia nini sisi Watu Wa mMwanza tulioacha shughuli zetu na kuimba Rais Rais mji mzima. Halafu mlete mambo ya ajabu. Acheni kama mnasikia. Huu Uzi umeniharibia siku Kabisa.
Kiukweli chidou una akili sana. Am with u 100%
Unajua maana ya kura ya maoni?!
Mkuu hii poll itawapa mwanga viongozi wetu wa UKAWA katika kufanya maamuzi ingawa huenda imechelewa.Salary Slip, mpaka sasa unatoa tathmini gani kuhusiana na hii poll uliyoianzisha na response unayoipata? Je lengo lako la kuanzisha thread kama hii imefanikiwa na kwa kiwango gani? Mimi naamini unapata kile unachostahili kwani mtu huwezi kupanda maharage ukategemea kuvuna nyanya! Hao akina Elungata, Ruttashobolwa n.k. ndio UKAWA limbukeni! Watu wenyewe pamoja na ID zao kibao hawafiki hata mia moja ndani ya JF na pale watakapoisha ndipo labda utaweza kupata response ya wana UKAWA wenyewe.
Nasema toka moyoni Kabisa tena kwa uchungu Chadema acheni hii mambo. Kama mnapima upepo nawaomba Kabisa. Mtatuambia nini sisi Watu Wa mMwanza tulioacha shughuli zetu na kuimba Rais Rais mji mzima. Halafu mlete mambo ya ajabu. Acheni kama mnasikia. Huu Uzi umeniharibia siku Kabisa.