Elections 2015 Unaunga mkono Lowassa kuhamia CHADEMA na kuwa mgombea Urais?

Unaunga mkono Lowassa kuhamia CHADEMA na Kugombea Urais?

  • NDIYO

    Votes: 318 59.8%
  • HAPANA

    Votes: 214 40.2%

  • Total voters
    532
  • Poll closed .
HAPANA NA NDIO
HAPANA kwa sababu Lowasa alipokuwa anaomba kupitia ccm tayari alikuwa ana team yake ambayo ndiyo angeitumia kuunda serikali chini ya ilani ya ccm. kugeuka ghafla na kuingia ukawa bila hiyo timu ni ishara kuwa njaa yake ni madaraka. huku ugenini atawakuta watu tofauti na sera tofauti atafanya nini?

NDIO kwa sabbabu kama kweli anaungwa mkono na wanachi wengi na si tu kwamba sharti la kuungwa mkono ni lazima awe ccm basi UKAWA itakuwa imefanikiwa kuiondoa ccm madarakani plan A itakuwa imetiki.
 

MC hii movu ya siasa ni ya levo ya j juu sana kwa watu wa kawaida kuielewa.
 
ndio kwa asilimia 55 kwa sasabu tu ataidhoofisha ccm japo kidogo kwa kutetereka coz hatahama peke yake atahama na wpambe wake na wanomuunga mkono otherwise yeye na ccm wote ndo walewale
 
Yawezekana alosema hayati Julius kuwa mpinzani wa kweli atatoka CCM.
 
Ndio kama atasaidia kuitoa ccm. Hata polisi wanawatumiaga wahalifu ili kudaka wahalifu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…