Unawafahamu watu waliofanikiwa kwa kuwatoa kafara watu wao wa karibu?

Au ulivyotoka ndani kwenda nje gizani akili yako iliumba taswira ya kufikirika tu?
 
"Lijitu limepaka majivu meupe usoni" ulithibitisha vip ni mtu kweli na sio mawenge yako ya usingizi ? Na kama ni mtu ulithibitisha vip ni mchawi na sio mwehu tu?
 
Nafikiri hauhitaji nguvu zozote kukutana au kumuona mtu anayefanya vitendo vya uchawi, hata katika mipira ya Yanga na Simba watu wanaofanya vitendo vya kichawi huwa wanaonwa na watu. Wengine huwa wanafanya kwa kujificha na wengine hufanya kwa wazi.
 
Ha haaa..kwa lugha rahisi ni MSUKULE ila mara nyingi hawa Mbojo ni kwa ajili ya kuzalisha..wanakuwa wana nguvu sana+ wachapakazi..na ndio chanzo cha jina la huo Ukoo wangu...ni kama Man Utd na Red devils
Umesahau na kuiba mazao ya watu wengine mashambani na kunyakua watu watakaokuwa wanahitajiwa na mabosi wao/wachawi.
 
Ha haaa..kwa lugha rahisi ni MSUKULE ila mara nyingi hawa Mbojo ni kwa ajili ya kuzalisha..wanakuwa wana nguvu sana+ wachapakazi..na ndio chanzo cha jina la huo Ukoo wangu...ni kama Man Utd na Red devils
Ni watu wanaofugwa kama wanyama wa kufanya kazi? Hii sio kinyume na sheria?
 
Nahisi kuna watu wanakufanyia kubisha ili waone kama matendo yao yatatajwa.

Mambo ya makafara yako kwenye kila jamii. Watu wa Asia hytoa sadaka kwa kuchinja mifugo na kuwapa maskini, n.k. ILa kwa sasa wabongo wamezidi kuchinjana asee! Ndio maana hata hizi ajali mbaya za barabarani serikali inaishia tu kutoa pole.

Hata kwenye miradi mikubwa, kama madaraja korofi kujengwa n.k, kuna namna viungo vya binadamu kama moyo m.k huwekwa ili mizimu iruhusu ujenzi.
Na jamii husika hutambua, na mtu aliyetolewa kafara hujulikana. Miaka ya 80 - 90 walikuwa wanamgonga mhuri kwapani. Hivyo askari au wazee wakikuta mhuri, wanasema ndg wakazike, na uchunguzi unaishia hapo hapo.
 
Muhuri wa kwapani tena?Marehemu si anaweza kucheka kwa kutekenywa?Oooops...sorry!Kumbe anakuwa ameshafariki!
 
Haya alikusimulia mama yako?🤔 Nakala aione Mbaga Jr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…