Ni kweli mkuu kuna kitabu kimoja nimekisahau jina nasikia ukikisoma lazima uchizike ni cha waturuki huko.Dunia hii kuna elimu kubwa zaidi ya elimu hii ya mashuleni na vyuoni. Kuna elimu inaitwa science beyond material ambayo ndiyo inaweza kuelezea mambo ya uchawi, freemason nk.
Inawezekana anafanya kazi chafu pia kama za dawa za kulevya, utakatishaji fedha za wakubwa, magendo ya madini n.k Kwa nini ukimbilie moja kwa moja kuhisi ni ushirikina bila kufikiria haya mengine?Huyo mama ni tajiri kabla ya kugundua pesa zake ni za madawa nilienda kukaa likizo kwake.
Hilo jumba la kifahari nilijihisi mtoto wa mfalme nikapewa chumba ghorofani kipo full kuanzia tv mpaka friji.
Kuna watu wanaishi kama wapo mbele vilee halafu kazi yake anayoifanya nikisema inachekesha
Niishie hapa labda yupo humu asije akaona akaunga dots usiku akanifata buree
Sasa nimuamini yeye au wewe?Inawezekana anafanya kazi chafu pia kama za dawa za kulevya, utakatishaji fedha za wakubwa, magendo ya madini n.k Kwa nini ukimbilie moja kwa moja kuhisi ni ushirikina bila kufikiria haya mengine?
Mojawapo ya story huwa nazisikia sana na mtu kuwatoa watoto wake au ndugu zake kafara ili afanikiwe katika biashara au siasa. Utoaji kafara huwa unaelezewa kwa mtu huyo aliyoetolewa kafara kufariki kwa kinachodhaniwa kifo cha utata au kupatawa matatizo ya akili(kichaa).
Unaweza kuonyeshwa kichaa fulani ukaambiwa huu ni mtambo wa kutengeneza pesa wa tajiri fulani au ndio chanzo cha mafanikio cha mwanasiasa fulani.
Unajuaje au unathibitishaje kwamba fulani amefanikiwa kwa sababu ya kafara ya mtoto, mzazi, mke au ndugu yake?
Na ukieleza watu pia uliwahi kumuona mchawi bado kuna watakaosema umechanganyikiwa,wengine watasema ulikuwa na njaa,nina kubaliana na wewe kuwa mambo ya kiroho ni magumu kuyathititisha ni mpaka na wewe uwe kiroho zaidi...Kutafuta Uthibitisho Katika Inshu Za Mambo Ya Kiroho Inahitaji Juhudi.Kwa Mfano Mtu Anaweza Akawa Mchawi na Ni Kweli Mchawi Kweli Kweli Lakini Hauwezi Kuthibitisha Kirahisi.Mambo Ya Kiroho Ni Mambo Ya Sirini.
Kuna Siku Kwa Macho Yangu Naked Kabisa Nlishuhudia Mchawi Namuangalia Ananiangalia.Mwaka 2013 Hiyo Magomeni
Nyota ni nini?Mimi namjua mmoja alikua rafiki wa mama yangu utajiri wake ni wa kutumia nyota za wafanyakazi wake
Alimtoa mtoto wake kwa nani?Ila ilipofika mwaka 2018 ikabidi amtoe mtoto wake na akafanya hivyo
Ajiunge huko wapi?Ashawahi kumshawishi mama yangu ajiunge huko mama akakimbia nduki na urafiki ukaisha.
Alikuja dar kama housegirl kutoka Upareni ila sasa hivi ni tajiri.
Siwezi kupoteza muda kukujibu hayo maswali yako sababu mimi na wewe tayari tunaamini vitu viwili tofauti.Nyota ni nini?
Ulijuaje na ulithibitisha vipi huo utajiri wa huyo mama ulipatikana kwa nyota za wafanyakazi wenzake?
Na ni kivipi?
Alimtoa mtoto wake kwa nani?
Na huyo mtoto alifariki kwa namna gani?
Je baada ya huyo mtoto kutolewa, utajiri wa huyo mama uliongezeka kwa kiasi gani?
Na je una uthibitisho wa jinsi mali zilivyo ongezeka kabla ya mtoto kutolewa na baada ya mtoto kutolewa?
Tufanye ulinganisho wa mali kabla ya mtoto kutolewa na baada ya mtoto kutolewa.
Ajiunge huko wapi?
Sehemu gani?
Kwa nani?
Huko kwa kujiunga, Huyo anayeunga watu kwenye huo utajiri, Yeye ana utajiri wa namna gani?
Au ni mtu tu amekaa kwenye kibanda cha nyasi anawalaghai anaweza kuwapa utajiri?
Kuna kutoa kafara mkuu?View attachment 3177059
Haya tena kwa anayetaka kubadilisha karatasi kuwa ni pesa anione mimi kwa wakati wake ili nimpe ujanja wa kuweza kupata pesa.
KabisaUkiwa tajiri Africa hakikisha ndugu zako, HAWAUMWI, HAWAFI, pia WANAFANIKIWA,....vinginevyo utaambiwa UNAWAROGA, UNAWATOA KAFARA na KUWAIBIA NYOTA,....shity mindset 🚮🚮🚮
Yapo wapi?Ndugu yangu haya mabo yapo omba Mungu akuhepushilie mbali unaweza kutolewa kafara wewe..
Kwa nini usiwe na misukule ya kutosha ikufanyie kazi uwe tajiri mkubwa nchini Tanzania Walau umzidi Bakhressa?Utaamini siku nikikufanya msukule wa kufanikisha miradi yangu ,taja jina lako kamili nikunyooshe uwe msukule wangu ili uamini kwamba uchawi na kafara vipo
Ila mkuu kwa nini utajirike mwenyewe halafu ndugu zako wengine ni masikini na wanakufa vifo tata ? Halafu wakifa au wakichanganyiwa ndio utajiri wako unazidi kuongezekaUkiwa tajiri Africa hakikisha ndugu zako, HAWAUMWI, HAWAFI, pia WANAFANIKIWA,....vinginevyo utaambiwa UNAWAROGA, UNAWATOA KAFARA na KUWAIBIA NYOTA,....shity mindset 🚮🚮🚮
Wewe mwenye kuelewa hizo code, umezitumia vipi kukupa utajiri?I did it and I made it .
Huwa nashangaa MTU anapokubali kuwa masikini while kuna njia nyingi za kufanikiwa.
Altar
Sacrifice
Is real .
Majengo yote marefu yamejengwa na damu za WATU .
Kinachowakwamisha WATU ni ile kutoelewa code
Ubongo wa binadamu huwa unaweza kufanya hallucinations katika mazingira fulani ikiwemo unapokuwa na njaa iliyopitiliza, uchovu uliopitiliza, ukitumia dawa za kulevya, ukifungiwa mwenyewe mahali muda mrefu, magic tricks au matatizo ya ubongo. Watu wanapouliza wanataka kufahamu ulikuwa na utimamu kiasi gani ili waweze kuipa uzito stahili story yako.Na ukieleza watu pia uliwahi kumuona mchawi bado kuna watakaosema umechanganyikiwa,wengine watasema ulikuwa na njaa,nina kubaliana na wewe kuwa mambo ya kiroho ni magumu kuyathititisha ni mpaka na wewe uwe kiroho zaidi...
Bad!I did it and I made it .
Huwa nashangaa MTU anapokubali kuwa masikini while kuna njia nyingi za kufanikiwa.
Altar
Sacrifice
Is real .
Majengo yote marefu yamejengwa na damu za WATU .
Kinachowakwamisha WATU ni ile kutoelewa code
Ndio utoe maelezo ya kueleweka. Tuelewe.Siwezi kupoteza muda kukujibu hayo maswali yako sababu mimi na wewe tayari tunaamini vitu viwili tofauti.
Ningekujibu kama ungekua unataka kueleweshwa na sio kushindana
Mtu anasema Sema tu kwakua labda anataka kupata njia ya kwenda huko kutoka kwa wadau😀Achana na wendawazimu hao mkuu hawaelewi chochote kazi kubwabwaja tu!
Unataka Kushindana Wewe Hutaki Kupata Experience na Kujifunza."Lijitu limepaka majivu meupe usoni" ulithibitisha vip ni mtu kweli na sio mawenge yako ya usingizi ? Na kama ni mtu ulithibitisha vip ni mchawi na sio mwehu tu?
Ilibidi kufahamu kama kijana wake hakuwa na ugonjwa au tatizo lolote ambapo asingekuwa na muda mrefu wa kuishi na mganga akapitia humo, ilibidi kufahamu kama huyo kijana hakuja likizo au haketembelewa huko Canada halafu akapewa kitu kutoka kwa mganga ambacho kingeweza kuwa sumu, mambo yanaweza kuwa mengi.Sasa nimuamini yeye au wewe?
Yeye alimuonea huruma mama yangu kama rafiki yake wa karibu akaamua ampe siri ya utajiri wake ili rafiki yake nae awe tajiri
Tena akamwambia ana mawazo sababu ameambiwa atoe kafara ya kijana wake aliyekua Canada chuo mwaka wa mwisho na kweli kijana akafa baada ya muda mchache karudishwa Tz akiwa Maiti
Lakini mama yangu akakataa