To some of you, Christianity is a religion, to some of us who are informed knows that the invisible created the visible, we know that Christianity is not a religion.brother Ishmael are you still in the "religion or not religion" argument???
source kuhusu "kabla ya noah" au kuhusu mke wa "noah"
nimeongelea vitu viwil atika post yangu
Kiongozi, unakata nyasi kwa BullDozaHivi Waisraeli pamoja na mitume na manabii wa kwenye Biblia ni Wazungu?
To some of you, Christianity is a religion, to some of us who are informed knows that the invisible created the visible, we know that Christianity is not a religion.
Romans 12:2 And be not conformed to this world: but be ye transformed by the renewing of your mind, that ye may prove what is that good, and acceptable, and perfect, will of God.
Per Romans 12: 2. You need to renew your mind. How do you do that?your quotation does not affirm your insinuation, anyway I choose to respect your perception however fake it is.
Unalazimisha mambo.
1. Yesu ni Kiswahili
2. Jesus ni Kiingereza
3. Yeshua ni Kiiebrania
4. Yasua ni Kiarabu
SASA HILI LA Eesa ni la wapi kama si la Kimuhammad? Sasa Umuhammadi tokea lini ulikuwa ni Lugha?
Biblia ya Paulo.Una source gani iliyokuwa peer reviewed?
To some of you, Christianity is a religion, to some of us who are informed knows that the invisible created the visible, we know that Christianity is not a religion.
Romans 12:2 And be not conformed to this world: but be ye transformed by the renewing of your mind, that ye may prove what is that good, and acceptable, and perfect, will of God.
You don't need PhD to comprehend simple things and using all of these muhammadic links, to witUmeshindwa kufungua hiyo link ukajiongezea maarifa? Unataka ligi bila kujitayarisha?
Tri-une imekuchanganya weye!
Tokea lini neno la Mungu ikawa ndio Mungu mwenyewe? Ni mantiki ya ki-Paulo tu inasema Neno litokalo kwa Mungu ndio Mungu.
Kwa maana hiyo Kuna Miungu mingi, kwa sababu Torati ni neno la Mungu, Yesu ni neno la Mungu, Zaburi ni Neno la Mungu, Injili ni neno la Mungu, Quran ni neno la Mungu. Piga mahesabu hapo, Waungu wangapi(miungu mingapi) hao kwa mantiki ya ki-Paulo?
Yesu alifuata dini ipi?
Therefore, "What is Christianity?" is best answered by saying that it is a relationship with the true and living God through the person of Jesus Christ by whom we are forgiven of our sins and escape the righteous judgment of God.
mke wa noah nimeanza na neon "possibly" kwa hivyo sitatoa any evidence but kuhusu uwepo wa waafrica kabla ya noah nakuja na ushahidi in a moment
Jesus had no religion, inter-alia, God does not need religion but relationship with Him. God is our Father and H e needs that relationship of a Father/Child and not Allahic slavery relationship. Muhammad was a SLAVE of Allah.Yesu alifuata dini ipi?
Je Yesu alimwabudu Mungu yupi?
Ishmael, Biblia ni neno la Mungu kama Yesu?
Jesus had no religion, inter-alia, God does not need religion but relationship with Him. God is our Father and H e needs that relationship of a Father/Child and not Allahic slavery relationship. Muhammad was a SLAVE of Allah.
Jesus is GOD.
Historia haijatuacha nyuma waafrica, tulikuwepo toka enzi za noah na tutaendelea kuwepo. Na dunia hii tumeshiriki katika kila hatua ya ujenzi na ubomozi. VIVA Afrika.
[h=1]Lamentations 5:10King James Version (KJV)[/h]10 Our skin was black like an oven because of the terrible famine.