Pre GE2025 Unawaongezea wananchi gharama za maisha halafu useme wakuchague ukaumize tena, CCM mmekuwaje?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
There you are, the next round ya kuleta mtu ni 2025, sasa kati ya hawa waliopo sasa, nani ameonyesha uwezo in terms of maturity, ability, Capacity and capability kuipumzisha CCM tumpe?.
P

Ongea Kama great wewe chawa mkuu. Wakati ccm kipindi hicho TANU wanapewa madaraka walikuwa na maturity gani kwenye uongozi?
 
Amerith cheo kikubwa kuliko vyote dunian ulitegemea aseme siweziii hata kama hawezi[emoji16]
 
Sio sisi, ndio kanuni ya dunia nzima, inatumia kanuni za Newton kilichopo kitaendelea kuwepo mpaka kitokee kingine!.
Hata tukifanya uchaguzi huru kabisa na wa haki kabisa, katika hawa waliopo, nani anaweza kui replace CCM, tukaipa Ikulu yetu?.
P

Wewe una matatizo. Wakati CCM wanafuta matokeo Zanzibar na JWTZ kumwagwa zanzibar, ilikuwa kanuni ya Newton au ujinga wa CCM . Tofautisha ujinga wa CCM na kanuni ya Newton. Yani Mkurugenzi kufunga ofisi ili mpinzani asichukue fomu au kuzima internet siku ya kupiga kura nako ni kanuni ya Newton. Punguza propaganda.
 
Sisiem inatumiwa na vyombo vya dola kutafuna nchi
 
Jikite kwenye hoja ya mtoa mada anajaribu kielezea kwamba Samia ndio amesababisha

Nakubali sio Samiah Bali mfumo wa serikali yake aliyoikuta, Kuna kipindi Trilioni 1.5 ziliibiwa hivi hivi. Hivyo anajukumu la kuchukua hatua za haraka Kama kiongozi mkuu.
 
Ni lini hali hizi hazikuwepo na bado CCM imekuwa inachaguliwa!, what is the difference this time?

Lets suppose its true CCM imepoteza mvuto na imepoteza mwelekeo, hivyo CCM inapaswa ipumzishwe, aje nani?.
P
Hili swali la nani aje, unapenda sana kuliuliza. Unawaaona WaTanzania mafala au!? Iwe ChaDeMa, ACT wote Hawa wanaweza kukabidhiwa nchi na mambo yakasonga.
 
Wewe nani uzuie Samia asichaguliwe tena 2025? Acha kupoteza muda katafute hela
 
Umeandika 🚮🚮 na ujinga.

Nakuuliza kitu Kimoja ,leta ushahidi wa Rushwa kukithiri kwanza Ili tuone kwamba sio chuki binafsi.

Mwisho fomu ya Urais itakuwa Moja
Upuuzi TU uliondika hapa. Ajuza anatafuta huruma apitishwe bila mchakato wakati MaRais wote waliopita walipitia michakato rasmi ya chama. Huo alionao ni wa kuokota.
 
Hili swali la nani aje, unapenda sana kuliuliza. Unawaaona WaTanzania mafala au!? Iwe ChaDeMa, ACT wote Hawa wanaweza kukabidhiwa nchi na mambo yakasonga.
Ni kama anataka kuoenesha kwamba CCM ina ubora wa hali ya Juu sana.

Pasco ni mwana Propaganda wa CCM lakini hujifanya ni Mtanzania mzalendo.
 
Siyo CCM ndiyo hutumia vyombo vya dola kuitafuna nchi!!??
Wengi tulidhani hivyo lakini tumegundua mrubdikano wa maafisa wa taasisi za usalama ndabi ya madaraka hususan teuzi za CCM ndani ya serikali ni jibu tosha kuwa vyombo vya dola vimefanikiwa kututawala kijeshi kwa mbinu hii.

Kama ujuavyo maaskari hawana huruma wala soni kutokana na mafunzo yao, hivyo hautakaa uone kiongozi kutoka CCM ana uchungu na maendeleo ya kweli ya nchi. Akijitokeza kiongozi wa kweli wanamalizana naye

See for yourself
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…