Unaweza jiuliza hali iliyoko ya nchi ya kuelekea kupoteza umoja imeletwa nani

Mohamed Abubakar

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2014
Posts
1,127
Reaction score
1,290
Bila mihemko na kwa msaada wa historia hii tokea uhuru tunaweza jiuliza hali iliyoko ya nchi ya kuelekea kupoteza umoja imeletwa nani.

1. Samia na Waislam
2. Nyerere na Wakristo

Tukizingatia kuwa ubora wa Serikali huamuliwa na falsafa au imani ya walio ndani ya Serikali. Kwa maana The Quality of the Government is determined by the philosophy of the people in Government. Not the people in Government but their philosophy of that people.
Tutafakari kwa pamoja.
 
Bila mihemko na kwa msaada wa historia hii tokea uhuru tunaweza jiuliza hali iliyoko ya nchi ya kuelekea kupoteza umoja imeletwa nani.

1. Samia na Waislam
2. Nyerere na Wakristo

Tutafakari kwa pamoja.
Hamna hata point moja hapo, dini hazihusiki kabisa.
Hii ni pure chama tawala na kudhani wao tu ndio wanafaa kumiliki
 
Kwann baadhi ya wanasiasa wanamdhihaki Samia kwa kuwa ni Mzanzibar. Huku wanasiasa wengine wakinasibisha Uzanzibari na Watu wenye madevu na hawako tayari kuwaachia znz isitawaliwe na wenye siasa kali
Hizo habari unazotaka kuzitengeneza wewe na mwelekeo wako wa udini, tatizo la Tanganyika ni CCM na tatizo la Zanzibar ni CCM
 
Kwahio sio kweli kwamba Samia ni mzanzibari?? Au sijakuelewa!
 
Na wewe usiepiga kura ila mtandano upo kama mwana harakati shupavu kumbe😅
 
Hizo habari unazotaka kuzitengeneza wewe na mwelekeo wako wa udini, tatizo la Tanganyika ni CCM na tatizo la Zanzibar ni CCM
Ngoja nikupe scenarios nzima na nilichojifunza na kuamini ndio mindset za watz na hasa tukizingatia kuwa wakoloni walitugawa watz kwa misingi ya dini.

Uislam tofauti na Ukristo, Uislam unachanganya dini na siasa kwa asili. Ingawa mambo yako kinyume ktk ground.

Hii ni miugonjwa miwili ambayo ipo ktk mindset za watz wa matakaba haya mawili makubwa na hayatoondoka hadi kiama.

Muhimu mindset hizi zinalenga watz viongozi wa vyama vikuu kwa maana ccm, chadema, act na cuf.

Lkn pia unawahusi wanachana wa upinzani chadema, act na CUF

Mchanganuo huu haiwahusu wanachama ma wafuasi wa ccm (laymans).

Kwani mwanachama wa kawaida wa ccm wao wamechongwa kuwa mgombea yyt wataoletewa hawaangalii dini yake ingawa waandamizi wa ccm wanajulikana ni catholic iko dominant.

Kwa ufafanuzi zaidi nilikuwa nauliza kwenye jukwaa moja la waislam kuwa tunaweza kujiuliza hivi tunadhani tunaweza kumuweka Samia madarakani kwa kudhani tuna nguvu hiyo, au kutokana na nguvu yetu.....?

Au kuna nguvu iliopo nyuma yake na humfanya awe vile wanavyotaka wao. Wakiamua aonekane dikteta nguvu hiyo inamfanya hivyo. Wakiamua awe na softpower nguvu hiyo inamfanya aonekane softpower.

Na wakitaka kumpokonya nguvu hizo wanaweza na sisi kama waislam tusiwe na lakufanya... hakuna bakwata wala nani.

Nguvu hiyo ni kina nani bila ya shaka ni catholic donimination

Huu ndio uhalisia kwa uharamu nilionao kwa mtazamo wa historia na falsafa.

Hata hivyo ukweli ni kwamba mindset ya waislam ni kuwa wakristo wanampinga kila muislam anaegombea urais wakimdhihaki hana weledi kwa kuwa yeye ni muislam. Ndio maana wakati wa Enzi za Prof Lipumba wa Enzi zile pamoja na kuwa yeye ni profesa wa uchumi na shida ya nchi tunajua ni uchumi lkn wakristo wengi wa upinzani walimchagua mkapa kwa kuwa ni mwenzao.

Sababu kuu ni wakristo wapinzani ni hawamwanini mgombea akiwa muislam hata kama anatokea upinzani.

Na wengi ktk wakristo hao ni hawa keyboard worriours na viongozi wao wa vyama upinzani. Chadema ikiongoza. Huu si ukweli iwapo anatokea mwenye kuleta hoja za kupinga dhana hii.

Kwa kuelewa hilo Waislam nao wanaingia ktk vita visivyo na tija kwai kwa kumkingia kifua mgombea ilimradi awe Muislam.

Kama ambavyo kwasasa wanapigania Samia.

Kwa kujivisha kilemba cha ukoka tu kuwa eti waislam ndio watunza wakuu wa amani nchini.

Na katika ntanange huu pamoja ya kuwa waislam wameumizwa sana na serikali ya ccm, lkn kwa vile mgombea wa ccm ni muislam wamesahau maumivu yote waliyonayo wakiamini chadema pia ni walewale kala tu waandamizi wa ccm. Na kwamba chuki ya waandamizi wa ccm wanaelewa ukubwa na makali yake ikiwa ni pamoja na kutungwa kwa sheria ya kibaguzi ya kigaidi inayowalenga waislam pekee. Na kwamba kwa msimamo na mtazamo wao wakiamini chadema ni kiwango cha pili cha kanisa hawajui watakuwa wakati na wabaguzi kwa kiasi gani.

Hivyo bora wakomae na kuwaunga mkono adui ccm.

Lkn kuna kundi la pili la waislam kwasasa ni watazamaji tu.

kundi hili ni kete muhimu kwa chadema kama wana nia ya kuweka mambo sawa na mindset ya waislam.

Lengo hasa ni kuwazindua wana mabadiliko wasielewe scenarios hizi mbili. Na kwamba kama kweli watz tunataka mabadiliko tunapaswa kucheza na mindset badala ya kucheza na ukweli.

Ili chadema ipate ushawishi ukanda wa pwani ni muhimu kwao kwa vile wamekataliwa na watu wa mwambao wao wenyewe wanapaswa kutumia mbinu kwa kuwafata na kuwateua ktk nafasi za uteuzi za kuu ambazo mwenyekiti ana mamlaka nazo. Nafasi hizo ni katibu na manaibu makatibu na wajumbe wa kamati kuu.

Watu wa mwambao wanapenda kuona mwakilishi wao ktk nafasi za juu. Na kwamba ktk kutengeza structure ktk hatua za struggle mbinu kama ya GeoPartonage kwa tz yafaa kuliko kuangalia politicalPartonaga au meritocracy

Kwa ujumla umoja wa watz unaelekea kukamilika kupotea kwa sababu ya kutoaminiana kwa sababu za historia.

Na kwa muelekeo huu chadema kama haitotumia inteligensia yake vizuri na kung'amua kuona umuhimu wa majina ya kiislam ktk nafasi muhimu za maamuzi, waislam watazidi kuamini hisia zao kuwa matatizo ya nchi hii yameletwa na wakristo kuanzia kwa mzee Nyerere. Na kwamba wataendelea kupigania kupatikana kwa amani kwa kuwa ninyi ndugu zetu kwa asili ni wavunjifu wa amani
 
Nikwambie kitu, this is the dumbest comment ever, katika upuuzi mkubwa unaokusumbua ni kutaka kuingiziza falsafa ya udini katika mustakabali wa siasa za Tanzania.

Adui wa Tanzania ni CCM na atabakia kuwa CCM, adui wa watu wachache wa mwambao hasa wewe ni inferiority complex, it is affecting your reasoning.

CHADEMA haihitaji majina ya waislamu kupata uhalali popote ndani ya Tanzania. Nimezaliwa, Ilala nimesomea Ilala boma, nikaenda tambaza ni pwani hiyo sijaona upuuzi wako.

Ujinga wa yeyote kuipenda CCM regardless ya itikadi yake bali kwa dini ndio mtaji wa CCM. Tuondolee udini wako nendeni CCM CHADEMA inahitaji watu makini wanaojielewa.
 
This is a mindset.

Sasa tusubiri matokeo. GeoPatronage ni tawi la demokrasia na dhio struggle ambayo kwa sababu ya kihistoria naamini yafaa kwa tz. Lkn pia ndio tafsiri ya sera ya chadema ya serikali za majimbo yenye uhuru zaidi wa kujiamulia mambo yao wenyewe.

Wengi ktk chadema utawajua kwa mavazi yao, lkn mindset zao niza kiCCM. Hawaelewi kabisa falsafa ya chama chao na kuweza kuitafsiri ktk maisha halisi.

Sasa shupazi mishipa ya shingo kwa kutaka support ya waswahili huku kwa mkakati wenu wa kutaku ninyi watu wa milimani kutaka kuwa watawala wa mwambao.

Endelea kuingia mtoni kabla ya kupima kima cha maji.

Hata kama mumezaliwa ilala. U r minority. Na ktk mfumo wa demokrasia wengi hutunga sheria.
 
This is a mindset.

Sasa tusubiri matokeo. GeoPatronage ni tawi la demokrasia na dhio struggle ambayo kwa sababu ya kihistoria naamini yafaa kwa tz. Lkn pia ndio tafsiri ya sera ya chadema ya serikali za majimbo yenye uhuru zaidi wa kujiamulia mambo yao wenyewe.

Wengi ktk chadema utawajua kwa mavazi yao, lkn mindset zao niza kiCCM. Hawaelewi kabisa falsafa ya chama chao na kuweza kuitafsiri ktk maisha halisi.

Sasa shupazi mishipa ya shingo kwa kutaka support ya waswahili huku kwa mkakati wenu wa kutaku ninyi watu wa milimani kutaka kuwa watawala wa mwambao.

Endelea kuingia mtoni kabla ya kupima kima cha maji
Pumbavu katika ubora wake, wewe ni msrmaji wa watu wa mwambao?
Viongozi waliochaguliwa CHADEMA ni kwa merit zao siyo kwa dini wala asili ya mahali walipotoka.
 
Back
Top Bottom