Kwani Samia sio Mzazibari? Au kuitaja Zanzibar ni Kosa au ni dhambi?
Kwanini tunasherehekea sikukuu ya Muungano.
Kwani Rais Mwingi Hussein ni Rais wa Wapi, Tanzania au Zanzibar, Kizimikazi IPO wapi Morogoro au Zanzibar? Kwani Tanganyika ilienda Wapi?
Rais wa Tanzania anatokea visiwani Zanzibar, Zanzibar ni nchi yenye Bendera, Bunge, Rais, Mahakama, Katiba, sarafu na Katiba yake, hivyo mtu anayetoka Zanzibar ni Mzanzibari kama alivyo mtu anayetokea Kenya ni Mkenya. Zanzibar wana utambulisho wao, inaitwa kitanbulisho Cha MZAZIBARI MKAAZI.