mangichogo
JF-Expert Member
- Oct 30, 2023
- 1,229
- 2,414
Inaletwa na ccm kwa kuwaaminisha watu k uwa, watu wanaopinga sela zao ni wachocheziBila mihemko na kwa msaada wa historia hii tokea uhuru tunaweza jiuliza hali iliyoko ya nchi ya kuelekea kupoteza umoja imeletwa nani.
1. Samia na Waislam
2. Nyerere na Wakristo
Tukizingatia kuwa ubora wa Serikali huamuliwa na falsafa au imani ya walio ndani ya Serikali. Kwa maana The Quality of the Government is determined by the philosophy of the people in Government. Not the people in Government but their philosophy of that people.
Tutafakari kwa pamoja.
Ni ajabu eti ktk population ya watu 6.5 mil kusiwepo merits wenye asili ya mwambao. Ndio yawezekana hata znz yawezekana wakuja kujiteua eti ndio viongozi wa chama fulani.Pumbavu katika ubora wake, wewe ni msrmaji wa watu wa mwambao?
Viongozi waliochaguliwa CHADEMA ni kwa merit zao siyo kwa dini wala asili ya mahali walipotoka.
Simple nenda CCM au ACT acha kujiliza Liza hapa, ukiona vipi anzisha chama chako cha waislamu. Pathetic foolNi ajabu eti ktk population ya watu 6.5 mil kusiwepo merits wenye asili ya mwambao. Ndio yawezekana hata znz yawezekana wakuja kujiteua eti ndio viongozi wa chama fulani.
Lkn wenyewe kikatiba wameamua kufata Patronage kwasababu hakuna jamii ya watu wasio weledi. Hakuna kwa sasa. Kwa mfano ukitaka watu wenye shahada kijijini kwangu utapata zaidi ya 200. Wenye masters wako zaidi 20.
Lkn utashangaa viongozi wa chadema ni wale wakuja.
Damn u
Kwanini ktk uhalisia sheria ya ugaidi linawahusu waislam pekee, na kwamba hata waliokamatwa zaidi ya 3000 hakuna aliyewahi kupatikana na hatia zaidi ya hapa juzi nimesikia kuna mashekhe wamehikumiwa kunyongwa. Kosa alikusudia kufanya tendo la ugaidi.Mfumo wa utawala ulianza kudhulumu haki za watu tangu awali dini haihusiani na utawala kwn kwa matakwa ya dini sa100 yuko nje kabisa .anaendeshwa na tamaa zake.
Kwanini ktk uhalisia sheria ya ugaidi linawahusu waislam pekee, na kwamba hata waliokamatwa zaidi ya 3000 hakuna aliyewahi kupatikana na hatia zaidi ya hapa juzi nimesikia kuna mashekhe wamehikumiwa kunyongwa. Kosa alikusudia kufanya tendo la ugaidi.
Unadhani hu
Kwa hiyo bunge lililopotisha Sheria ya ugaidi ni la wakristo? Mahakama iliyowatia hatiani ni ya wakristo?kumu hii kaitoa Samia. Ukiwauliza waislam wakupe maoni watakwambia ni mfumo kristo ndani ya wafanya maamuzi ndio waliotoa hukumu hii. Lengo ni kumfitinisha Rais na Waislam. But this is just a mindset na opinion.
Kwa hiyo huu ugonjwa wenzetu wanao sana
Siasa ni sayansi. Jiulize unawezaje kufikiria kuchukua dola huku 80% ya wakazi wa jiji la dsm hawakuungi mkono.Simple nenda CCM au ACT acha kujiliza Liza hapa, ukiona vipi anzisha chama chako cha waislamu. Pathetic fool
1. Samia na WaislamBila mihemko na kwa msaada wa historia hii tokea uhuru tunaweza jiuliza hali iliyoko ya nchi ya kuelekea kupoteza umoja imeletwa nani.
1. Samia na Waislam
2. Nyerere na Wakristo🤔
Tukizingatia kuwa ubora wa Serikali huamuliwa na falsafa au imani ya walio ndani ya Serikali. Kwa maana The Quality of the Government is determined by the philosophy of the people in Government. Not the people in Government but their philosophy of that people.
Tutafakari kwa pamoja.
With due respect nashauri uzi huu uondolewe utaongeza ufa wa mgawanyiko.shida zetu za sasa sio kwamba hatuna umoja.wananchi wanataka kusikilizwa na viongozi basi.Bila mihemko na kwa msaada wa historia hii tokea uhuru tunaweza jiuliza hali iliyoko ya nchi ya kuelekea kupoteza umoja imeletwa nani.
1. Samia na Waislam
2. Nyerere na Wakristo
Tukizingatia kuwa ubora wa Serikali huamuliwa na falsafa au imani ya walio ndani ya Serikali. Kwa maana The Quality of the Government is determined by the philosophy of the people in Government. Not the people in Government but their philosophy of that people.
Tutafakari kwa pamoja.
Kama siyo ulevi ni nini? We Mzee mlevi hivi asilimia 80% ya wakazi wa Dar es salaam wana asili ya mwambao?Siasa ni sayansi. Jiulize unawezaje kufikiria kuchukua dola huku 80% ya wakazi wa jiji la dsm hawakuungi mkono.
Fikiria tena kwann kwa kutumia neno ukawa waliwaunga mkono.
Mimi ni mchambuzi tu na nachosema najua ni nuru iliyojitokeza ktk kiza kinene, lzm ifiche macho kwa mkono wako. Mwisho mtakuja kuizoea jury hii na kuona vitu ktk uhalisia wake. Na ndio kipindi hicho mtakuja kusema kumbe tulijipotezea muda wetu kwa watu hawa Rahim wanaojielewa
Katika wapuuzi ambazo Kila nyuzi akileta ni udini ni huyu, naamini akili yake haiko vizuri. Na walengwa wake Kila siku ni CHADEMAKuna wajinga wanaamini kwamba anasemwa kwasababu ya imani yake.. Hivi kuna mtu alipelekewa moto kama jiwe?
Kwani Samia sio Mzazibari? Au kuitaja Zanzibar ni Kosa au ni dhambi?Kwann baadhi ya wanasiasa wanamdhihaki Samia kwa kuwa ni Mzanzibar. Huku wanasiasa wengine wakinasibisha Uzanzibari na Watu wenye madevu na hawako tayari kuwaachia znz isitawaliwe na wenye siasa kali
Wapumbavu wakishindwa kujadili mada husika au ikiwazidi umri na uwezo wa akili huelekea dini na kabila kama kichaka Cha kujifichia!Katika wapuuzi ambazo Kila nyuzi akileta ni udini ni huyu, naamini akili yake haiko vizuri. Na walengwa wake Kila siku ni CHADEMA
Ndugu yangu. Kama wangekuwa maprosefa wa kiislam kugombea chadema unadhani mungeangalia merits zao. Hapana.Kwa hiyo bunge lililopotisha Sheria ya ugaidi ni la wakristo? Mahakama iliyowatia hatiani ni ya wakristo?
Sijawahi kuona opinion so low za modern Tanzania zilizojitanabaisha kwenye udini kama upumbavu huu. Tambua kitu kimoja majority ya watanzania tumeishavuka huko imebaki na wajinga wachache
Sisiemu tu qmmkBila mihemko na kwa msaada wa historia hii tokea uhuru tunaweza jiuliza hali iliyoko ya nchi ya kuelekea kupoteza umoja imeletwa nani.
1. Samia na Waislam
2. Nyerere na Wakristo
Tukizingatia kuwa ubora wa Serikali huamuliwa na falsafa au imani ya walio ndani ya Serikali. Kwa maana The Quality of the Government is determined by the philosophy of the people in Government. Not the people in Government but their philosophy of that people.
Tutafakari kwa pamoja.
Hata Nyerere aliwahi kusema mtu aliyefilisika mawazo ataanza kufikiria kwa mtazamo wa dini, asili, kabila nk. Machizi kama hawa kwenye jamii ni WA kupiga spana, jiwe alipingwa spana humu si kwa dini yake wala kabila lake bali matendo yakeWapumbavu wakishindwa kujadili mada husika au ikiwazidi umri na uwezo wa akili huelekea dini na kabila kama kichaka Cha kujifichia!
Wakumbushe Niwemugizi kilimkuta kipi wakati wa jiwe.
Mwalimu. Kutaja si tatizo. Lkn ni tone unayoitumia kumtaja.Kwani Samia sio Mzazibari? Au kuitaja Zanzibar ni Kosa au ni dhambi?
Kwanini tunasherehekea sikukuu ya Muungano.
Kwani Rais Mwingi Hussein ni Rais wa Wapi, Tanzania au Zanzibar, Kizimikazi IPO wapi Morogoro au Zanzibar? Kwani Tanganyika ilienda Wapi?
Rais wa Tanzania anatokea visiwani Zanzibar, Zanzibar ni nchi yenye Bendera, Bunge, Rais, Mahakama, Katiba, sarafu na Katiba yake, hivyo mtu anayetoka Zanzibar ni Mzanzibari kama alivyo mtu anayetokea Kenya ni Mkenya. Zanzibar wana utambulisho wao, inaitwa kitanbulisho Cha MZAZIBARI MKAAZI.