Acha tu kuna account ipo Twitter ya jamaa anawahoji sana mashoga na hawa wanaume na wanawake wanaojibadili jinsia aisee utawaonea huruma namna wanalia na kujutia.
Wanawake huwa wanakata matiti na kujishona kifua kinakuwa flat kama cha kiume. Wanameza dawa za kuzima hormones za kike na kutumia dawa za kuongeza hormones za kiume ili waote ndevu na kupata sauti nzito.
Sasa balaa wengi wanalokutana nalo ni baada ya umri kwenda wanashindwa kupata partner ambaye watatulia na kufanya nae maisha sababu wanatakiwa kufanya majukumu ya kiume jambo ambalo ni gumu maana kiasili wao ni wanawake so wanaumia sana kumaintain uanaume maana hawauwezi wanamiss kuwa wanawake tena.
Halafu zile hormones kuna muda zinafika zinakataa dawa, sasa za kike zinarudi kwa nguvu za kiume zinashindwa kubalance unakuta analia tu, anaanza pata mawazo ya kujiua maana hakuna mwanamke anataka kukaa nae maana sio mwanaume natural, so wanakuwa wanatia huruma na majuto mengine sana.
Sasa mbaya zaidi ipo kwa wale Wanawake ambao wakibadili jinsia kutoka Ke kwenda Me wanafanya corrective surgery ya kutoa sehemu ya nyama za mwilini na kutengeneza uume feki ambao hauna kazi zaidi ya kutoa mkojo, ila hauna misuli kama uume wa kawaida, so linakuwa kama lisoseji limejiotea tu hapo, halafu wanashona uke so uke unakuwa kama haupo, na wengine watoa kabisa kizazi ili hormones zikibackfire wasipate hedhi huku uke umeshakuwa sealed kwa kushinwa kama kidonda au jeraha.
Aiseee i wish ningekuelezea kwa mdomo ungenielewa vema sana na ningekwambia vingi.