Unaweza kuamini kuwa huyu ni Mwanaume?

Unaweza kuamini kuwa huyu ni Mwanaume?

Kakimbia majukumu ya kiume kaona wanawake wanakula kilaini kwa kudanga TU yaani unakaa mguu pande TU unamuuzia boya utelezi anakupa gari,nyumba,maisha
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huwa mnaweweseka sana na mie? Muambie hata yeye anaweza kuniita, mbona sina kwere wala bayaa.

Mnajistukiaaaaaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna siku ulinichamba utani utani hivi so nipo makini kwa sasa 😂😂😂😂😂😂
 
Madambbi kama HAYA NDIO yqnachanganya DUNIA tunachagua Kona nanii...
 
Ume'mfollow??
Mimi nilimfolo Bobrisky kabla hata sijamjua Bob ni nani nilimuona mwanamke kama wanawake wengine tu kwenye Explore yangu baadae ndio naona habari za sijui Bob nani....So mimi nimemfolo kama mwanamke baadae kabadilika kuwa kumbe sio mwanamke.

Algorithm ya mitandao unaweza follow mtu bila kuzingatia chochote ukizangatia kipindi hiko ilikiwa mwendo wa kufollow follow tu miaka hii ndio mtu mpaka u click follow buttom duu umeamua
 
Coca kama coca..
Huna baya na hao watu..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji109][emoji109][emoji109][emoji109]
Yaan wala sio shida zangu kabisaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom