Weee si ni mateso hayoMfumo wa uzazi ni wa kiume hauwezi kubadili. Kuhusu kukata ataamua yeye kutoa na kuwekewa maumbile ya kike ila mateso yake ni hatari.
Harufu kali kushinda ile ya kisamaki ya kwenu wanawake. Risk ya ule uwazi kujifunga kama hatofanya usafi na kurudi for check up kila baada ya muda fulani.
Kimsingi ni kazi aisee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unataka kuona papuchiTunaomba basi atuoneshe na papuchi au hiyo imeshindikana kubadilisha?
Ndiyo tuone kama ni mwenzetu kweliππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unataka kuona papuchi
Acha tu kuna account ipo Twitter ya jamaa anawahoji sana mashoga na hawa wanaume na wanawake wanaojibadili jinsia aisee utawaonea huruma namna wanalia na kujutia.Weee si ni mateso hayo
Hakuna papuchi hapo, hapo ni mwendo wa dudu la yuyu.Tunaomba basi atuoneshe na papuchi au hiyo imeshindikana kubadilisha?
Duh binadamu sisi mbona tuna kufuru kiasi hiki jamniAcha tu kuna account ipo Twitter ya jamaa anawahoji sana mashoga na hawa wanaume na wanawake wanaojibadili jinsia aisee utawaonea huruma namna wanalia na kujutia.
Wanawake huwa wanakata matiti na kujishona kifua kinakuwa flat kama cha kiume. Wanameza dawa za kuzima hormones za kike na kutumia dawa za kuongeza hormones za kiume ili waote ndevu na kupata sauti nzito.
Sasa balaa wengi wanalokutana nalo ni baada ya umri kwenda wanashindwa kupata partner ambaye watatulia na kufanya nae maisha sababu wanatakiwa kufanya majukumu ya kiume jambo ambalo ni gumu maana kiasili wao ni wanawake so wanaumia sana kumaintain uanaume maana hawauwezi wanamiss kuwa wanawake tena.
Halafu zile hormones kuna muda zinafika zinakataa dawa, sasa za kike zinarudi kwa nguvu za kiume zinashindwa kubalance unakuta analia tu, anaanza pata mawazo ya kujiua maana hakuna mwanamke anataka kukaa nae maana sio mwanaume natural, so wanakuwa wanatia huruma na majuto mengine sana.
Sasa mbaya zaidi ipo kwa wale Wanawake ambao wakibadili jinsia kutoka Ke kwenda Me wanafanya corrective surgery ya kutoa sehemu ya nyama za mwilini na kutengeneza uume feki ambao hauna kazi zaidi ya kutoa mkojo, ila hauna misuli kama uume wa kawaida, so linakuwa kama lisoseji limejiotea tu hapo, halafu wanashona uke so uke unakuwa kama haupo, na wengine watoa kabisa kizazi ili hormones zikibackfire wasipate hedhi huku uke umeshakuwa sealed kwa kushinwa kama kidonda au jeraha.
Aiseee i wish ningekuelezea kwa mdomo ungenielewa vema sana na ningekwambia vingi.
Inasikitisha sana...
Mnooo loveInasikitisha sana...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huwa mnaweweseka sana na mie? Muambie hata yeye anaweza kuniita, mbona sina kwere wala bayaa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Coca au... Jamni weeeeh
Wee Dr nimecheka had machozi, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna wanawake wakimuona wanamuonea wivu maana ni pisi Kali kuliko wao.
Huyu ukipishana nae njiani lazima ugeuke.
Huyo nakula mpaka mifupaHuyu ni Mwanaume kutoka Nigeria ambae amejibadilisha na kuwa na muonekano wa kike.
Jina lake ni Daniel Anthony Nskan.
View attachment 2947534View attachment 2947535View attachment 2947536
Bado hamjateseka, yaan mtateseka sanaIla ujue nini.. mada kama hizi hunoga zaidi akiwepo coca..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
""Kwani wamewakosea nini "" cocas.' said
Ndivyo mnavyo jidanganya huko mkikaa vijiweni kwenu? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wengi ni watoto waliotelekezwa au kutupwa mitaani.....saa nyingine hawamjua hata Baba Mzazi.
Wengi wakikusimulia maisha yao utawaonea huruma na ndio maana wanaingia kwenye mtego huo ili Mkono uende kinywani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbona mabwakuu.N kweli maana katuzidi urembo.. nipo hapa na type huku tumbo langu la uzazi linavibrate halaf namuona kakadada anakiuno nyigu nitakosa makasiriko kwel?
Shangaziiii una nn lakini? Nimecheka balaaaNaomba kuuliza Huwa wanakatwa kabisa alafu panatobolewa?na vipi kuhusu mfumo wao wa uzazi?
Usikute kashakuzidi muonekano ππ€£π€£π€£π€£π!
So huyo afta sajari hadi chini ana kitobo anga π€?
Wanaitaga hormone imbalance wenyewe .Mzizimkv ππ umetishaaa
Cc Smart911