Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Inasikitisha sana, Wanaume saizi inatakiwa tutazamwe kwa ukaribu,sisi kwasasa ni special group
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ucnichekeshee, kuna jamaa kakataliwa na kidampaa, asianze kumletea nongwa kwa jamii.Weee mbona umekamia sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Una nini lakini coca khaaaa
Yaani na wewe umeanza habari za wizo ukishikilia kitu sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] weraaaa weraaaaa!! Kuna mtoto wa mama mkwe hapindui hapa. Maufundi anayopewa had anaweweseka kikwao, famchezo nn.Ahahahaha aaaaaaah wapiiii somo uwe wewe [emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ucnichekeshee, kuna jamaa kakataliwa na kidampaa, asianze kumletea nongwa kwa jamii.
Akakutana na kidampa aliyepinda, asi muumbue kwa waja, toka voice note, chatting, etc, akiwa anamtongoza na kuomba utelezi
Jamaa aibu tyuuh, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ahahahahahahah mambo ya pwani au tanga...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] weraaaa weraaaaa!! Kuna mtoto wa mama mkwe hapindui hapa. Maufundi anayopewa had anaweweseka kikwao, famchezo nn.
Hata nyie mnapenda sana mfyuuuh, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Kijana hovyo sana wewe khaaa...
Hayo mambo ni ya siri sana lakini acha bana...
Ila hao wanaopenda hivo watachomwa mbaya mno [emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata Lindi nampa ruksa aende, afu mbona mie sio king'ang'a eti? Dudu analo yeye pekee ake?Ahahahahahahah mambo ya pwani au tanga...
Et apindui ni vile ajakutana na watoto wa mtwara hukoooo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Utasema wamemroga wewe , [emoji23]
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌 cocastic tuishie hapa kwa kweli 🙌🙌Hata nyie mnapenda sana mfyuuuh, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Vidampa wanaongezeka kila siku, had ke nao wameamua kutoa mlango wa chooni kwa ridhaa yao wenyewe.
Chezea vidampa weyeee, na wanawakwapua wanaume hasa hawa wanaojifanya hawataki, huwa wanazamaga mazimaa si walichelewa kuingia kwenye mfumo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa kutinduana tope ni siri? Vilainishi viko bwerere huko pharmacy utadhan azuma za UTI, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Toa unafiki wako hapa.
Nyie jamani 😂😂😂😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata Lindi nampa ruksa aende, afu mbona mie sio king'ang'a eti? Dudu analo yeye pekee ake?
Hallow nshavuka hizo level, yeye ndo ana haha na mie mawivu km yoteee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu nakulaHuyu ni Mwanaume kutoka Nigeria ambae amejibadilisha na kuwa na muonekano wa kike.
Jina lake ni Daniel Anthony Nskan.
View attachment 2947534View attachment 2947535View attachment 2947536
No sijaiona, kama ni ya Netflix nitaicheki soon nikipata muda, kama sio hadi niitafute.binti kiziwi night in the museum Usha Iona??
Sio ya net flix, halafu shangazi hulali mbona 😁.No sijaiona, kama ni ya Netflix nitakucheki soon nikipata muda, kama sio hadi niitafute.
Mimi ni mlinzi, (security guard) 💂♀️Sio ya net flix, halafu shangazi hulali mbona 😁.
Halafu team Netflix mna tusumbua Sana, kuna paramount na Amazon prime mjue😁
wee, basi ambia mjomba aku rudishe nyumbani tu😆.Mimi ni mlinzi, (security guard) 💂♀️
Ukikutana na mashine ya inchi 6 au 7 utaendelea kumfumua?nikikutana naye nafumua unless nione hizo picha zake za ukidume ndio nitaghairi
Tattoos nyingi juficha makovu ya surgeryHii account ya insta,kwa wale matomaso kaangalie picha zaidi za kidume mwenzio mwenye papuchi fake[emoji23]View attachment 2948147