Kwenye kilimo haitakiwi kufanya mradi mmoja. Halafu mradi mmoja unategemea mingine. Ukifuga utapata mbolea. Badala ya kuitupa unaitumia kulimia mazao ya muda mrefu na mfupi. Unahitaji kuku ili waokote wadudu kwenye kinyesi cha mifugo, n.k. hata hivyo inabidi kuanza kwa kiasi kidogo kwa kila secta japo Wastaafu wakipata hela wanahaha wanafanya kila kitu halafu wanashindwa kuendesha miradi kwa kukosa uzoefu.Kufanya zote au kuchagua kati ya hizo?
Hii ni endelevu? Inatunza mazingira? Instengeneza ajira?Fungua pharmacy,duka la hardware au spares na machine.
Sure,Naelewa hilo.Tatizo ni kwamba ukifanya shughuli nyingi zisizoingiliana TIJA inakuwa ndogo sana katika Kilimo maana kila sekta ina mahitaji yake na inaweza kukuletea bottlenecks hasa kwenye resource allocation.Kwenye kilimo haitakiwi kufanya mradi mmoja. Halafu mradi mmoja unategemea mingine. Ukifuga utapata mbolea. Badala ya kuitupa unaitumia kulimia mazao ya muda mrefu na mfupi. Unahitaji kuku ili waokote wadudu kwenye kinyesi cha mifugo, n.k. hata hivyo inabidi kuanza kwa kiasi kidogo kwa kila secta japo Wastaafu wakipata hela wanahaha wanafanya kila kitu halafu wanashindwa kuendesha miradi kwa kukosa uzoefu.
Pilipili inastawi mahali popote ikitunzwa. Nashauri wilaya ya Kilindi kwa sababu unaweza kuchimba visima kwa mashine ndogo au hata kwa mkono tofauti na Handeni. Usinunu ekari zaidi ya 50 bila kuishirikisha serikali kuu kwa sababu sheria ya ardhi ina_limit kiwango cha ardhi unachoweza kumilikishwa na serikali ya kijiji. Nakushauri uende mwenyewe ukayafute ardhi kuliko kutumia madalali kwani utauziwa ghali na bado uhalali wa umiliki usikamilike. Mwaka juzi nilimtumia dalali kama bado anafanya hiyo kazi mpigie anaitwa Abedi: 0625425176Pili zinastawi huko?Una contacts au access ya maeneo huko Handeni?
Ok Nashukuru.Nitapitia kwa afisi ya Wilaya ya Kilindi nafikiri ni pa kuanziaPilipili inastawi mahali popote ikitunzwa. Nashauri wilaya ya Kilindi kwa sababu unaweza kuchimba visima kwa mashine ndogo au hata kwa mkono tofauti na Handeni. Usinunu ekari zaidi ya 50 bila kuishirikisha serikali kuu kwa sababu sheria ya ardhi ina_limit kiwango cha ardhi unachoweza kumilikishwa na serikali ya kijiji. Nakushauri uende mwenyewe ukayafute ardhi kuliko kutumia madalali kwani utauziwa ghali na bado uhalali wa umiliki usikamilike. Mwaka juzi nilimtumia dalali kama bado anafanya hiyo kazi mpigie anaitwa Abedi: 0625425176
🧢🤜🏿Ok Nashukuru.Nitapitia kwa afisi ya Wilaya ya Kilindi nafikiri ni pa kuanzia
Funguka vizuri hapa kuanzia cost zote na profitAise kwa hiyo hela mie naona kwanza ningetafuta shamba la zabibu kule dodoma....baada ya hapo mzeya ninge register kampuni ya wine....niwe nauza mvinyo....ila sasa sitapiga hela kwenye mvinyo....nitatafuta bonge moja la chemist...eistein type of guy...tunaichakata cocain into liquid form tuipakage kwenye hizo wine bottles tunasafirisha kwenda huko kulikoendelea....hapo profit ni 500% kwenda juu....thats wat i would have done with 400mil.
Exact cost siwezi kupa mzeya hii idea ye yewe tuu bonge la madini. Chemist though sio chini ya dollar 50k.Funguka vizuri hapa kuanzia cost zote na profit
Mkuu tulikuwa na project nzuri sana ya kuanzisha chuo cha kozi za afya kwa ngazi ya Diploma.... Tuliipunguzia nguvu ya implementation kwa kukosa funds.... Kama upo serious njoo tuweze kufanya jamboMkuu,
Kuna watu/mtu ambaye wanaohitaji kufanya uwekezaji serious?
Je unaweza kufanya nini ukiwa na access ya Kiasi cha Milioni 50-500?Uwekezaji uwe endelevu,uzalishe ajira,uhifadhi mazingira uzalishe kwa soko la nje na la ndani.
Kama una wazo zuri hapa ndo pahala pake
Calculation ni 50- 500 million. Kama ni million 50 utajenga hata vyumba 50 itakulipa Sana Sana. Hizo za kilimo unaweza kuangukia pua na mtaji ukapoteaMkuu Vyumba 25 means kila chumba cha lodge milioni 20 italipa kwelie?au cjakuelewa
ukiwekeza kwenye kilimo cha zabibu ukawa serious na kaz hela yako inalud na faida ndan ya mwaka mmoja the rest unaenjoy maishaAise kwa hiyo hela mie naona kwanza ningetafuta shamba la zabibu kule dodoma....baada ya hapo mzeya ninge register kampuni ya wine....niwe nauza mvinyo....ila sasa sitapiga hela kwenye mvinyo....nitatafuta bonge moja la chemist...eistein type of guy...tunaichakata cocain into liquid form tuipakage kwenye hizo wine bottles tunasafirisha kwenda huko kulikoendelea....hapo profit ni 500% kwenda juu....thats wat i would have done with 400mil.
Funguka kidogo kuhusu zabibuukiwekeza kwenye kilimo cha zabibu ukawa serious na kaz hela yako inalud na faida ndan ya mwaka mmoja the rest unaenjoy maisha
Fafanua kivipiPossibilities are endless ila mimi ningehitaji tu milioni 50 niwekeze katika Muziki kisha nitengeneze a minimum turnover ya 125 million ndani ya mwaka mmoja.