Unaweza kufanya Uwekezaji gani kwa Milioni 50-500 na wenye faida ya kueleweka?

Unaweza kufanya Uwekezaji gani kwa Milioni 50-500 na wenye faida ya kueleweka?

Kufanya zote au kuchagua kati ya hizo?
Kwenye kilimo haitakiwi kufanya mradi mmoja. Halafu mradi mmoja unategemea mingine. Ukifuga utapata mbolea. Badala ya kuitupa unaitumia kulimia mazao ya muda mrefu na mfupi. Unahitaji kuku ili waokote wadudu kwenye kinyesi cha mifugo, n.k. hata hivyo inabidi kuanza kwa kiasi kidogo kwa kila secta japo Wastaafu wakipata hela wanahaha wanafanya kila kitu halafu wanashindwa kuendesha miradi kwa kukosa uzoefu.
 
Sure,Naelewa hilo.Tatizo ni kwamba ukifanya shughuli nyingi zisizoingiliana TIJA inakuwa ndogo sana katika Kilimo maana kila sekta ina mahitaji yake na inaweza kukuletea bottlenecks hasa kwenye resource allocation.
 
Pili zinastawi huko?Una contacts au access ya maeneo huko Handeni?
Pilipili inastawi mahali popote ikitunzwa. Nashauri wilaya ya Kilindi kwa sababu unaweza kuchimba visima kwa mashine ndogo au hata kwa mkono tofauti na Handeni. Usinunu ekari zaidi ya 50 bila kuishirikisha serikali kuu kwa sababu sheria ya ardhi ina_limit kiwango cha ardhi unachoweza kumilikishwa na serikali ya kijiji. Nakushauri uende mwenyewe ukayafute ardhi kuliko kutumia madalali kwani utauziwa ghali na bado uhalali wa umiliki usikamilike. Mwaka juzi nilimtumia dalali kama bado anafanya hiyo kazi mpigie anaitwa Abedi: 0625425176
 
Ok Nashukuru.Nitapitia kwa afisi ya Wilaya ya Kilindi nafikiri ni pa kuanzia
 
Aise kwa hiyo hela mie naona kwanza ningetafuta shamba la zabibu kule dodoma....baada ya hapo mzeya ninge register kampuni ya wine....niwe nauza mvinyo....ila sasa sitapiga hela kwenye mvinyo....nitatafuta bonge moja la chemist...eistein type of guy...tunaichakata cocain into liquid form tuipakage kwenye hizo wine bottles tunasafirisha kwenda huko kulikoendelea....hapo profit ni 500% kwenda juu....thats wat i would have done with 400mil.
 
Funguka vizuri hapa kuanzia cost zote na profit
 
Mkuu,
Kuna watu/mtu ambaye wanaohitaji kufanya uwekezaji serious?

Je unaweza kufanya nini ukiwa na access ya Kiasi cha Milioni 50-500?Uwekezaji uwe endelevu,uzalishe ajira,uhifadhi mazingira uzalishe kwa soko la nje na la ndani.

Kama una wazo zuri hapa ndo pahala pake
Mkuu tulikuwa na project nzuri sana ya kuanzisha chuo cha kozi za afya kwa ngazi ya Diploma.... Tuliipunguzia nguvu ya implementation kwa kukosa funds.... Kama upo serious njoo tuweze kufanya jambo
 
Mkuu,embu weka nyama kidogo Ili tuone nature ya business hasa kwenye mapato na matumizi na ROI maana hii ni strictly business
 
Mkuu Vyumba 25 means kila chumba cha lodge milioni 20 italipa kwelie?au cjakuelewa
Calculation ni 50- 500 million. Kama ni million 50 utajenga hata vyumba 50 itakulipa Sana Sana. Hizo za kilimo unaweza kuangukia pua na mtaji ukapotea
 
1. Kununua ardhi nakuja kuiuza badae.

2. Kununua mashamba na kukodisha kwa wakulima.

3. Kujenga vyumba vya kupangisha.

4. Kujenga ukumbi wa sherehe.

5. Kununua share UTT Bond account.
 
Utt bond account, masuala ya nyumbani yote kuendesha familia,Kula unachotaka kitawezekana hapa hatà ukipata ajari au maradhi ya kudumu utajihudumia wewe mwenyewe pasipo msaada kutoka kokote utaishi kama mtumishi wa umma.

Kumbi za sherehe, hapa utakuwa unapokea cash kabla ya watu kutumia ukumbi wako.hapa nakushauri wewe uwe unachukua Hela ya ukumbi tu Haina longolongo kabisa. music,chakula, na mengineyo waachie wengine. Sherehe ikiisha we chukua kofuri unafunga ukumbi wako, huku unasubiri gawio la mwezi la UTT.

Nunua Shamba na wekeza kufuga nyuki Kwa kisasa zaidi, tafuta maingineer wafanye design ya Shamba la nyuki, hapa utapata asali ya kutosha na kuuza Kwa Bei nzuri tu. Even if mambo yakienda vibaya UTT Bond Bado itakubeba.

Nunua Shamba na panda mbegu nzuri ya machungwa au machenza au mapapai,au karoti au ndizi tamu, hakikisha unalima kisasa sio unategemea mvua za misimu hapana, tafuta maingineer wafanye design kabisa, na pia miradi hii ikibumaa UTT Bond Bado itakulinda.

Zama mtaani kufanyà research uone watu wanataka nyumba zipi za kuishi, then Jenga nyumba za kupangisha, ukishazimaliza kabla ya kuzipangisha zitafutie hati then ingia bank kuchukua mkopo, halafu sasa zipangishe, unakuwa hutegemei Hela ya wapangaji maana najua ni ndogo sana. Yani wapangaji unawafanya kama walinzi tu wanyumba bila wao kujijua maana nyumba inatakiwa kuwa active Ili ipendeze. Hela ya mkopo unaweza ifanyia kazi nyingine ambayo itarudisha faida Kwa haraka.

Tafuta Shamba then Jenga mabwawa ya kisasa ya kufuga samaki,chukua samaki wenye soko tu hapa namanisha sato,migebuka wa kigoma na pia unaweza Fuga na dagaa chukua mbegu ya ziwa Victoria na ziwa tanganyiKa, tafuta eneo kingine Jenga frem za bucha ya samaki tu unaweza kuwa unapangisha hizo bucha then wapangaji wako unakuwa unawauzia Kwa Bei ya chini kidogo then wao ndo wanauza, hapa mambo ya TRA wao ndo watamaliza weed unakuwa mbali na TRA kabisa maana utakuwa kama mkulima wa samaki.

Kama wewe ni mtaalamu wa network Hela nyingine kiasi kidogo ungewekeza kwenye FOREX trading japo ni risk sana unaweza poteza.

"""""***"""""*****""""*****"""""""
 
Aise kwa hiyo hela mie naona kwanza ningetafuta shamba la zabibu kule dodoma....baada ya hapo mzeya ninge register kampuni ya wine....niwe nauza mvinyo....ila sasa sitapiga hela kwenye mvinyo....nitatafuta bonge moja la chemist...eistein type of guy...tunaichakata cocain into liquid form tuipakage kwenye hizo wine bottles tunasafirisha kwenda huko kulikoendelea....hapo profit ni 500% kwenda juu....thats wat i would have done with 400mil.
ukiwekeza kwenye kilimo cha zabibu ukawa serious na kaz hela yako inalud na faida ndan ya mwaka mmoja the rest unaenjoy maisha
 
Pata eneo zuri na kubwa...panda miti ya mbao aina mbalimbali,panda miti ya matunda labda parachichi,tenga eneo kwa ajili ya mabwawa kwa ajili ya ufugaji samaki.

Miti ikikua fuga nyuki humo,anzisha ufugaji wa either wa kuku au nguruwe au mifugo utakayopenda.Kwa fikra yangu,Mradi ukitengenezwa vizuri,utakuwa na asset ya kulinda mtaji wako,miradi itajitegemea baada ya muda kiuendeshaji,utakua na miradi ya kukupa pesa ya baadae sana na miradi ya kukupa pesa ya haraka.Utaweza kujivunia pesa zile za utunzaji mazingira na zile zitolewazo kwa ajili ya kusapoti miradi ya samaki na nyuki na faida nyingne lukuki.

Utaweza kufanya biashara ndani na nje ya nchi,na utatunza mazingira na kujipatia wewe mwenyewe faida kubwa.Utazalisha ajila nyingi moja kwa moja na indirectly.Ukizingatia utaalam na usimamizi mzuri utakua umepata kile unachotamani.
 
Possibilities are endless ila mimi ningehitaji tu milioni 50 niwekeze katika Muziki kisha nitengeneze a minimum turnover ya 125 million ndani ya mwaka mmoja.
 
Fungua finance company (crowd funding) ya kuwakopesha wafanyabiashara, nafikiri kitu kama hichi kitawasaidia wafanyabiashara wengi wanaotafuta mtaji/ mkopo kwa bei nafuu
 
Back
Top Bottom