ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Kwamba hupendi kuwekwa? Wewe ni mtanzania wa wapi..hahaha![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kusafiri
Asante kwa kweli yakijadiliwaga mambo ya ngono hata mimi huwa naona hayanihusu kabisa, si kwamba ni mtakatifu nina Dhambi zangu nyingine kama ulevi, ila hii ya uzinzi nashukuru imenipitia kushoto na imeniepusha na mengi [emoji2][emoji2]