Unaweza kukaa muda gani bila mapenzi/mpenzi?

Unaweza kukaa muda gani bila mapenzi/mpenzi?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kusafiri

Asante kwa kweli yakijadiliwaga mambo ya ngono hata mimi huwa naona hayanihusu kabisa, si kwamba ni mtakatifu nina Dhambi zangu nyingine kama ulevi, ila hii ya uzinzi nashukuru imenipitia kushoto na imeniepusha na mengi [emoji2][emoji2]
Kwamba hupendi kuwekwa? Wewe ni mtanzania wa wapi..hahaha!
 
Back
Top Bottom