Unaweza kukaa muda gani bila mapenzi/mpenzi?

Unaweza kukaa muda gani bila mapenzi/mpenzi?

T
Labda ndoto nyevu[emoji849]
Ila nasikia unakuwa hatarini kutawaliwa na jini mahaba..hasa ukichelewa kuoa..which is more risky
Umeanza kuelewana sasa, ni kweli kabisa ukiota unashiriki ngono ndoto ujue umefunga ndoa na jini.

Sasa mwamba keshakojozwa na jini utakatifu autoe wapi.

Ni vyema aende akaombewe tu 😂
 
Nahisi naweza kukaa maisha yote bila mpenzi wa kuwa nae kwa sababu.

1.Napenda kuwa huru, niweze kujumuika na yeyote bila kuumumiza mtu mwingine,maana Kuna wapenzi ukiwa nawo atakuganda mpaka basi,muda wa kufanya mambo Yako binafsi anauchukuwa yeye.

Kurudi home muda nnaotaka,ukiwa na mpenzi muda wa kurudi lazima akupangie.
 
Back
Top Bottom