ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Supu.Nambie msosi gani hata ukiwa unaula mwaka mzima huwezi kuuchoka.
Mimi mihogo na Makange ya samaki ukiniandalia nitakula asubuhi mchana na jioni siku zote za maisha yangu.
View attachment 2888333
View attachment 2888336
Sikuizi sijui chakula nikipendacho sijui Kwanini..Nambie msosi gani hata ukiwa unaula mwaka mzima huwezi kuuchoka.
Mimi mihogo na makange ya samaki, ukiniandalia nitakula asubuhi mchana na jioni siku zote za maisha yangu.
Wali unachosha mkuu.Mimi napenda wali nazi na maharagwe na Mke wangu ashafahamu hilo basi kama wapemba vile.
Kweli mkuu.Wali unachosha mkuu
Mimi niliwai kula wali na pilau mwaka mzima yaani 365 days😊😊😅Kweli mkuu.
ILA mimi si wali tu, wali nazi.
Huwa unachosha ila naweza kula hivyo kwa hata wiki mbili.
Itakua umri umeenda mkuu.Sikuizi sijui chakula nikipendacho sijui Kwanini..
Kweli mkuu 😊 umri wangu nakimbiza sungura..Itakua umri umeenda mkuu.