Unaweza kula chakula gani kila siku bila kukikinai?

Unaweza kula chakula gani kila siku bila kukikinai?

Chapati au chapoo za kusukuma ikiwa na chai ya rangi au maziwa.

Ugali dona wenye mboga za majani na mboga nyinginezo.
 
Ugali nyama, dagaa na mlenda aaaha utaniua!

Kikubwa ubadili pishi ila bidhaa ibaki iyo hiyo!

(Nyama roast, choma, kaanga, chemusa wewe!
Dagaa wa mwanza au roast yake mlenda au bamia kata kubwa uirorost) Hata kama ni miaka mingapi hiyo chakula hainikifu
 
Back
Top Bottom