Unaweza kula chakula gani kila siku bila kukikinai?

Unaweza kula chakula gani kila siku bila kukikinai?

tuwekee mkuu wengine wageni


Soma post #3 ingawaje naona picha hazifunguki kwa sasa...
 
nikajua utasema supu binti kiziwi kwasababu ya posts zako kwenye ule uzi
Use observe vizuri sana, kuna muda hatuli chakula kwa kupenda, tunakula sababu kinapendwa na wengi. Mimi nyumbani kwangu supu inabamba watu wote asubuhi na jioni. Ila hivyo vyakula nilivyotaja navipenda pekeyangu hata vikipikwa I'll end up mealing alone. Kwahiyo tunafanya wengi wape.... hatujafika ile point ya kila mtu kula akipendacho.
 
Ugali nyama choma kachumbari pembeni na mrindi,

Vipi kuna sehemu wana shindano au tunapogezeana muda tuu?
Kama unaishi mjini fika pale Rombo greenview Sinza/Shekilango, tena saa hii ndio muda wenyewe wa shindano, utaona glass kubwa kubwa zamtindi wa baridiiii zinapitishwa pitishwa ndipo utajua kwa hakika umefika eneo la tukio.
 
sababu huna hela kwahy unakula mpaka njaa iume na njaa ikiuma haichagui ki2 cha kula wala ukipendacho yenyewe ndio hukuandalia
Very true mkuu itakua sabb na vicent vya kubadili mboga....

All in all naijua dhiki naijua njaa naujua msoto...

MUNGU NI MWEMA Kajalia nakula nachotaka Mimi na familia yangu hatuli tunacho pata....

🙏🙏
 
Hata chair fire, jaribu kumla miezi mi3 mfululizo kisha utakuja niambia hapa.
Mm nikimla Leo hamu inaisha kabisa hadi siku nyingine siwezi mla mfululizo, nyama ya mbuzi ndo naweza kula mfululizo Kuna wakati nilikua umasaini huko kwenye minada yao utakula nyama hadi ukimbie lakini cha ajabu hawana vitambi na daily wanagonga nyama na beer hazikosi mpaka vijijini siku hizi.
 
Back
Top Bottom