Changchun yatai
JF-Expert Member
- Mar 18, 2023
- 410
- 1,050
Maziwa fresh au mgando, nilikua karatu kipindi Fulani maji yanarangi ya udongo tukaamua badala ya kutumia maji kupika ugali tukawa tunatumia maziwa fresh tunasonga ugali wa sembe na samaki wa kukaanga aisee baada ya miezi mitatu nilinenepa shingo ikawa kama shingo la dume la nyati.ugali maziwa na kitimotooo ndizii weeeeee