ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Pole sana kiongozi. Huenda ulikula makande yaliyopikwa vibaya, ukikutana na watu wanaojua kupika kande hutazichukia.Mkuu,
Mimi makande nayachukia sana niliyalaga boarding school with no options Yale makande walikua wakipewa nguruwe wanagoma kula tangia hapo Nika ingia confrontation na neno makande kuliko makande yenyewe😊😊
Makande ni chakula Cha kuwaulia wanyama walio shindikana marekani yaani chakula hicho sijawai kipenda Abadan I HATE MAKANDE