Unaweza kula chakula gani kila siku bila kukikinai?

Unaweza kula chakula gani kila siku bila kukikinai?

•Wali maharage
•Makande
Mkuu,
Mimi makande nayachukia sana niliyalaga boarding school with no options Yale makande walikua wakipewa nguruwe wanagoma kula tangia hapo Nika ingia confrontation na neno makande kuliko makande yenyewe😊😊

Makande ni chakula Cha kuwaulia wanyama walio shindikana marekani yaani chakula hicho sijawai kipenda Abadan I HATE MAKANDE
 
Nambie msosi gani hata ukiwa unaula mwaka mzima huwezi kuuchoka.

Mimi mihogo na makange ya samaki, ukiniandalia nitakula asubuhi mchana na jioni siku zote za maisha yangu.samaki Hakifu kama nyama

Tafuta pesa kijana.... Chakula kisichokinai ni pesa tu!...

Ukiendelea kutafta pesa na kuzipatia... utagundua ya kwamba....kadri unavyokuwa na pesa unapoteza hamu ya vyakula pendwa vingi tu

Usipokuwa na pesa ndipo unaona vyakula havikinai!

Ushawahi kuona mtu mwenye pesa anawaza kula-kula hovyo! Kama wewe!?
 
Mchemsho
 
Attachments

  • DSC_0016.JPG
    DSC_0016.JPG
    851.6 KB · Views: 6
Tafuta pesa kijana.... Chakula kisichokinai ni pesa tu!...

Ukiendelea kutafta pesa na kuzipatia... utagundua ya kwamba....kadri unavyokuwa na pesa unapoteza hamu ya vyakula pendwa vingi tu

Usipokuwa na pesa ndipo unaona vyakula havikinai!

Ushawahi kuona mtu mwenye pesa anawaza kula-kula hovyo! Kama wewe!?
Mkuu topic ni chakula sio pesa, mbona unapenda kufanya mambo yaonekane magumu
 
Hakuna chakula ninachoweza kula kwa muda mrefu nisikikinai, ila naweza kula chakula chochote hata wiki mfululizo ukiyatoa maboga kutokana na circumstances flani. Ila mambo yakiwa fresh, siwezi kula chakula kimoja muda mrefu
 
acha ujuaji mdogo wangu, soma title mbona wenzako wamechangia fresh, kujua kwngi mbele kiza Halafu kujifanya kuandika kingereza akuondoi ukweli kwamba huna akili
Arguing with a ratite, Proves there are two flightless!
Period!
 
Back
Top Bottom