Second choice?Ugali samaki
UgaliSecond choice?
Ugali, viazi vitamu, sikinai kabisaNambie msosi gani hata ukiwa unaula mwaka mzima huwezi kuuchoka.
Mimi mihogo na makange ya samaki, ukiniandalia nitakula asubuhi mchana na jioni siku zote za maisha yangu.samaki Hakifu kama nyama
Ugali, mlenda, kitimoto.Nambie msosi gani hata ukiwa unaula mwaka mzima huwezi kuuchoka.
Mimi mihogo na makange ya samaki, ukiniandalia nitakula asubuhi mchana na jioni siku zote za maisha yangu.samaki Hakifu kama nyama
Boarding ilinifanya niyachukie maharage hadi leo🙆♂️UGALI MAHARAGE
kama umesoma shule ya bweni utakubaliana nami