Unaweza kula chakula gani kila siku bila kukikinai?

Unaweza kula chakula gani kila siku bila kukikinai?

Nambie msosi gani hata ukiwa unaula mwaka mzima huwezi kuuchoka.

Mimi mihogo na makange ya samaki, ukiniandalia nitakula asubuhi mchana na jioni siku zote za maisha yangu.samaki Hakifu kama nyama

Mi hiki hapa
20240130_093638.jpg
 
Wali unachosha mkuu.

Mimi nilikua napenda sana nyama mpaka wife akajua so for years ikawa ni bandika bandua currently sipendi tena sijui kuku, nyama za mbuzi, ng'ombe, kitimoto N.k

sipendi sijui maharage maana nilikulaga sana boarding school so sijawai penda maharage..

Saivi sijui Kwa kweli Nile nini nacho penda..
Boarding kweli hata mie ilinifanya niyachukie maharage.
 
Back
Top Bottom