Unaweza kula ugali na nyama ambayo haijaungwa?

Moja kwa afya inashauri kutokuunga (hayo mafuta na mapochopocho mara nyingi yanapelea kupunguza ubora kiafya be it kuongeza utamu)

Mbili umenikumbusha mshikaji mmoja alikuwa Chef huko UK Half Caste baba yake Mjamaica mama Mzungu akawa ananihadithia jinsi maisha yaliyokuwa magumu yaani walikuwa wanakula cornflakes kavu bila maziwa.....

Nikasema kimoyo moyo...., "If we all threw our problems in a pile and saw everyone else's, we'd happily grab ours back."
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…