Unaweza kuoa Mwanamke aliyedate na rafiki yako?

Kwa hiyo jamaa yako amezuzuka sababu dada yupo kwenye elite bank na anasukuma mkoko?[emoji23]

Akamuulize kwanza huyo rafiki yake ni kwa nini hakumuoa huyo dada kabla yeye hajamuoa.
 
Mimi alimuacha rafki angu akahamisha majeshi kwangu,,jamaa nilimueleza kila tukio ambalo mtto alkua akilifanya wakiwa na jamaa ,, mshikaji akaniruhusu kuchakata manzi yake na akaachana nae hata hivyo mtot nae akamueleza jamaa kila kitu. Kifupi jamaa ndio alikuwa hajatulia mpaka mtto kuhamia kwang ni 5 yrs mpaka sasa bado nachakata na jamaa urafiki haujawahi shuka hata nukta kwani kuna wakati namchakatia kwa jamaa na michongo tunafanya safi tu.

Sent from my SH-02J using JamiiForums mobile app
 
Aache mmoja. Akiamua kumuoa basi amkane kabisa rafiki yake na wasijuane tena maishani mwao.

Akiamua kuendelea na urafiki naye basi asioe huyo dada. Akimuoa na akaendelea na huyo rafiki yake basi watakuwa wamemuoa huyo dada wote wawili sababu nina uhakika upashaji kiporo lazima utaendelea tuu.
Hapo umeongea ngoja nimpe ushauri huu aelewe. Namimi nimempa haya makavu.
 
Kwa hiyo jamaa yako amezuzuka sababu dada yupo kwenye elite bank na anasukuma mkoko?[emoji23]

Akamuulize kwanza huyo rafiki yake ni kwa nini hakumuoa huyo dada kabla yeye hajamuoa.
Hajataka kuuliza kabisa kabaki anaugulia na stress 😂
 
Kuna jamaa apa kampata mtoto fulani hivi mkali sana. Pisi hii ipo kwenye moja ya Elite bank hapa nchini na anasukuma baby car fulanii hiviii..LOL

Sasa huyu jamaa akagundua hii pisi imedate na moja ya rafiki yake"EX' wa karibu sana, Wakati ndo anataka akamilishe zile taratibu za "kutukuka" na aweke mtoto ndani.

Kifupi, jamaa anaona kama "gundu" fulani ikizingatia mshkaji wake ni wale wa " chovya chovya" na pia jamaa ameoa ...(Rafiki yake ashaoa ila bado "ingiza mwenyewe")

Je, wakuu hii kitu nimshauri vp jamaa? Alifahamu kama wamedate na huyu mtu wake baada ya stories.. Amejua ghafla.
Yupo sahh
 
Unaoa dem wa rafik yako
Utakuwa umekubali kufanyiwa ujasusi
 
Rafiki yake ni mtu wa karibu sana . Sio wale rafiki oya oya kifupi ni washkaji mno.
ata hao niliowataja ni marafiki wa karibu wamesoma woote shule moja primary,O level ,A level na chuo pia walikuwa wanaishi eneo moja kitaa na uyo mdada nae tulikuwa tunaishi nae eneo moja kitaa
 
Hiyo kitu itamtesa sana kuna watu hata wakijua tu demu kadate na mshikaji flani wanemjua hata kama hawana urafiki ila ile kumjua tu ex wa demu basi mahusiano yanakufa
 
ata hao niliowataja ni marafiki wa karibu wamesoma woote shule moja primary,O level ,A level na chuo pia walikuwa wanaishi eneo moja kitaa na uyo mdada nae tulikuwa tunaishi nae eneo moja kitaa
Aiseee . Kweli mapenzi yana nguvu kubwaa sana.
 
Mi kuna mate wangu from my former job kaoa demu aliyeachwa na rafiki yake wa karibu/swahiba tena kaachwa na mtoto.

Jamaa kaoa kanisani na mchango wangu kala ila ile pisi inamuendesha balaa.

Tunamuimbia
?[emoji446][emoji443][emoji449] hilooo ni chaguo lakooo ........ chaguo lakoo🪕[emoji447][emoji441]
 
Una uhakika gan kuwa waspokuwa marafik upashaj wa kiporo hautakuwepo ????
Aache mmoja. Akiamua kumuoa basi amkane kabisa rafiki yake na wasijuane tena maishani mwao.

Akiamua kuendelea na urafiki naye basi asioe huyo dada. Akimuoa na akaendelea na huyo rafiki yake basi watakuwa wamemuoa huyo dada wote wawili sababu nina uhakika upashaji kiporo lazima utaendelea tuu.
 
Kuna jamaa apa kampata mtoto fulani hivi mkali sana. Pisi hii ipo kwenye moja ya Elite bank hapa nchini na anasukuma baby car fulanii hiviii..LOL

Sasa huyu jamaa akagundua hii pisi imedate na moja ya rafiki yake"EX' wa karibu sana, Wakati ndo anataka akamilishe zile taratibu za "kutukuka" na aweke mtoto ndani.

Kifupi, jamaa anaona kama "gundu" fulani ikizingatia mshkaji wake ni wale wa " chovya chovya" na pia jamaa ameoa ...(Rafiki yake ashaoa ila bado "ingiza mwenyewe")

Je, wakuu hii kitu nimshauri vp jamaa? Alifahamu kama wamedate na huyu mtu wake baada ya stories.. Amejua ghafla.
Alikuwa anapekenyua nini hadi akajua yote hayo?
Watu wameoa hadi ma X wa baba zao wazazi, itakuwa huyo wa best friend?
Huyo unaoa, na bestfriend ndio anakuwa bestman. Mchawi mpe mwanao akulelee, walinena wahenga!

Funzo: Acha kupekenyua na kupekua pekua, vinginevyo hautakula bata
 
Back
Top Bottom