Unaweza kuoa Mwanamke aliyedate na rafiki yako?

Unaweza kuoa Mwanamke aliyedate na rafiki yako?

Aisee kama unataka kuoa demu ambaye sio bikra, ukijaribu tu kufungua mafaili yake ya huko nyuma aisee nakwambia hakika hutaoa. Unaweza achana na huyo kutokana ametembea tu na rafiki yako na ukaja kupata mwingine ambae ndio ana worst past life, so mi nakushauri kama anaeleweka tulia nae.
 
Hii kitu simshauri. Itamtesa sana kisaikolojia, kijamii, kisiasa, kitamaduni na kisayansi pia.
Kwanza unakulaje dem unajua kabisa flan ashakula hapo?. Hata asingekuwa rafki ake..... Kitendo cha kujua kuwa flan amechakata kinaathiri sana akili.
Vipi ukija kujua flani alishachakata lakini tayari ushaoa huyo mwanamke??
 
Stress inakuja kuanza uhusiano mpya na kufikia mpaka stage ya ndoa... sio kazi rahiiiisi
Wewe unatakiwa kuwa objective usikilize maoni ya wadau wenye experience na hiyo hali, vinginevyo unakumbatia moto na utakuunguza.
 
Aisee kama unataka kuoa demu ambaye sio bikra, ukijaribu tu kufungua mafaili yake ya huko nyuma aisee nakwambia hakika hutaoa. Unaweza achana na huyo kutokana ametembea tu na rafiki yako na ukaja kupata mwingine ambae ndio ana worst past life, so mi nakushauri kama anaeleweka tulia nae.
Kingine kinachouma unakuta demu anakupenda sana na ana vigezo vyote vya wewe kuweka ndani ila unakuja kujua kuna mtu unaemfahamu alichakata kwa miaka zaidi ya miwili hapo unachoka kabisa
 
Hii kitu simshauri. Itamtesa sana kisaikolojia, kijamii, kisiasa, kitamaduni na kisayansi pia.

Vipi ukija kujua flani alishachakata lakini tayari ushaoa huyo mwanamke??
Ukishaoa usiruhusu kupata taarifa zngne juu ya mkeo ambazo hukuwa unazijua before.
 
Kingine kinachouma unakuta demu anakupenda sana na ana vigezo vyote vya wewe kuweka ndani ila unakuja kujua kuna mtu unaemfahamu alichakata kwa miaka zaidi ya miwili hapo unachoka kabisa
yaani ukute jamaa fulani unamjua sio mzuri kabisa.. !!!!
 
Huwa najihis kama siwez kusalitiwa.

Ingawaje katika mahusiano niliyowah kupitia kuna mademu wawili waliwah nisalit

Tena mtu anaenda kupgwa mashine anarud usiku sana ananiambia nkampokee kituon,kwa vile huwa sifikilii kama demu anaweza nisalit nilkuja kugundua baadae sana kwamba alkuwa anaenda kwa bwana aliezaa nae na jamaa alkuwa bado anaendelea kula mzigo
Dah
.pole sana mkuu
 
Back
Top Bottom