Unaweza kuoa Mwanamke aliyedate na rafiki yako?

Unaweza kuoa Mwanamke aliyedate na rafiki yako?

In summary inakuaga hivi
IMG_20211101_184023.jpg
 
Hii kitu simshauri. Itamtesa sana kisaikolojia, kijamii, kisiasa, kitamaduni na kisayansi pia.

Kwanza unakulaje dem unajua kabisa flan ashakula hapo?. Hata asingekuwa rafki ake..... Kitendo cha kujua kuwa flan amechakata kinaathiri sana akili.
 
Sawa sawa mkuu.
 
Je wanaooa single mother Sasa wenyewe unawaambieje hapo ??
 
Achague kimoja cha kupoteza kama atamuoa huyo binti bas akate urafiki na huyo mshikaji wake, ama amuache huyo dem ili urafiki na mshikaji wake uendelee
 
Je wanaooa single mother Sasa wenyewe unawaambieje hapo ??
Hao n wamejitoa muhanga, so hata uwape neno haitawaokoa.

Imagine unamkuta mkeo ambae alishazaa na boe mwngne anaongea na mzaz mwenza juu ya maendeleo ya mtoto wao [emoji16].

Hii kitu kuoa mwanamke wa kiaina aina weken mbali kabisa. It will cost someone na itakuwaga n too late.
 
Kwani demu mwenyewe anasemaje?

Status za kimaisha nani yupo juu?Demu?Msela alowahi kula?muoaji?

Je wanaishi na kufanya kazi jirani?

Kiungo cha urafiki wao ni nini?

Ajaribu kwenda na demu mahali mshikaji wake alipo aone reaction ya demu ikoje.

Story baada ya hilo tukio italeta picha nzuri sana.

Ikiwa demu yuko njema kwa kipato na endapo huyo msela alimdisi vibaya basi hio ni shangwe maana atamchukia huyo msela maisha yote.

Mwanamke hana makombo kinachouma ni fedheha hasa kwa wale ambao hawana elimu thabiti kuhusu wanawake ndio hupata shida.

Muhimu je demu mwenyewe anasemaje baada tu ya kujua hao wawili ni marafiki?
 
Mimi alimuacha rafki angu akahamisha majeshi kwangu,,jamaa nilimueleza kila tukio ambalo mtto alkua akilifanya wakiwa na jamaa ,, mshikaji akaniruhusu kuchakata manzi yake na akaachana nae hata hivyo mtot nae akamueleza jamaa kila kitu. Kifupi jamaa ndio alikuwa hajatulia mpaka mtto kuhamia kwang ni 5 yrs mpaka sasa bado nachakata na jamaa urafiki haujawahi shuka hata nukta kwani kuna wakati namchakatia kwa jamaa na michongo tunafanya safi tu.

Sent from my SH-02J using JamiiForums mobile app
Tofautisha demu wa kuchakata na mke wa kuoa.

Mtoa mada anaongelea mke.
 
Mkuu unaongea kirahis sana kias kwamba inaonyesha hauko serious na iz mambo kwakweliiii
Huwa najihis kama siwez kusalitiwa.

Ingawaje katika mahusiano niliyowah kupitia kuna mademu wawili waliwah nisalit

Tena mtu anaenda kupgwa mashine anarud usiku sana ananiambia nkampokee kituon,kwa vile huwa sifikilii kama demu anaweza nisalit nilkuja kugundua baadae sana kwamba alkuwa anaenda kwa bwana aliezaa nae na jamaa alkuwa bado anaendelea kula mzigo
 
Back
Top Bottom