Jerlamarel
JF-Expert Member
- Sep 14, 2021
- 843
- 2,525
Hapo umeongea ngoja nimpe ushauri huu aelewe. Namimi nimempa haya makavu.Aache mmoja. Akiamua kumuoa basi amkane kabisa rafiki yake na wasijuane tena maishani mwao.
Akiamua kuendelea na urafiki naye basi asioe huyo dada. Akimuoa na akaendelea na huyo rafiki yake basi watakuwa wamemuoa huyo dada wote wawili sababu nina uhakika upashaji kiporo lazima utaendelea tuu.
Hajataka kuuliza kabisa kabaki anaugulia na stress 😂Kwa hiyo jamaa yako amezuzuka sababu dada yupo kwenye elite bank na anasukuma mkoko?[emoji23]
Akamuulize kwanza huyo rafiki yake ni kwa nini hakumuoa huyo dada kabla yeye hajamuoa.
Yupo sahhKuna jamaa apa kampata mtoto fulani hivi mkali sana. Pisi hii ipo kwenye moja ya Elite bank hapa nchini na anasukuma baby car fulanii hiviii..LOL
Sasa huyu jamaa akagundua hii pisi imedate na moja ya rafiki yake"EX' wa karibu sana, Wakati ndo anataka akamilishe zile taratibu za "kutukuka" na aweke mtoto ndani.
Kifupi, jamaa anaona kama "gundu" fulani ikizingatia mshkaji wake ni wale wa " chovya chovya" na pia jamaa ameoa ...(Rafiki yake ashaoa ila bado "ingiza mwenyewe")
Je, wakuu hii kitu nimshauri vp jamaa? Alifahamu kama wamedate na huyu mtu wake baada ya stories.. Amejua ghafla.
Stress za nn, kwani wanawake wameisha duniani? Mwambie aache ufwala.Hajataka kuuliza kabisa kabaki anaugulia na stress [emoji23]
Stress inakuja kuanza uhusiano mpya na kufikia mpaka stage ya ndoa... sio kazi rahiiiisiStress za nn, kwani wanawake wameisha duniani? Mwambie aache ufwala.
ata hao niliowataja ni marafiki wa karibu wamesoma woote shule moja primary,O level ,A level na chuo pia walikuwa wanaishi eneo moja kitaa na uyo mdada nae tulikuwa tunaishi nae eneo moja kitaaRafiki yake ni mtu wa karibu sana . Sio wale rafiki oya oya kifupi ni washkaji mno.
Fafanua tafadhariHalua haina makombo
Aiseee . Kweli mapenzi yana nguvu kubwaa sana.ata hao niliowataja ni marafiki wa karibu wamesoma woote shule moja primary,O level ,A level na chuo pia walikuwa wanaishi eneo moja kitaa na uyo mdada nae tulikuwa tunaishi nae eneo moja kitaa
Jamaa wanaotoa ushauri wa kutokuoa humu si wapo kibao, pitia madesa huko
Halafu mtu akitaka kuoa huwa
Una uhakika gan mkuu ??Aoe tu ila akae akijua atakuwa mke wao.
Aache mmoja. Akiamua kumuoa basi amkane kabisa rafiki yake na wasijuane tena maishani mwao.
Akiamua kuendelea na urafiki naye basi asioe huyo dada. Akimuoa na akaendelea na huyo rafiki yake basi watakuwa wamemuoa huyo dada wote wawili sababu nina uhakika upashaji kiporo lazima utaendelea tuu.
Alikuwa anapekenyua nini hadi akajua yote hayo?Kuna jamaa apa kampata mtoto fulani hivi mkali sana. Pisi hii ipo kwenye moja ya Elite bank hapa nchini na anasukuma baby car fulanii hiviii..LOL