Asipovunja urafiki na huyo jamaa yake watamla wote hiyo ni core mkuu.Una uhakika gan mkuu ??
Vipi ukija kujua flani alishachakata lakini tayari ushaoa huyo mwanamke??Kwanza unakulaje dem unajua kabisa flan ashakula hapo?. Hata asingekuwa rafki ake..... Kitendo cha kujua kuwa flan amechakata kinaathiri sana akili.
Wewe unatakiwa kuwa objective usikilize maoni ya wadau wenye experience na hiyo hali, vinginevyo unakumbatia moto na utakuunguza.Stress inakuja kuanza uhusiano mpya na kufikia mpaka stage ya ndoa... sio kazi rahiiiisi
Kingine kinachouma unakuta demu anakupenda sana na ana vigezo vyote vya wewe kuweka ndani ila unakuja kujua kuna mtu unaemfahamu alichakata kwa miaka zaidi ya miwili hapo unachoka kabisaAisee kama unataka kuoa demu ambaye sio bikra, ukijaribu tu kufungua mafaili yake ya huko nyuma aisee nakwambia hakika hutaoa. Unaweza achana na huyo kutokana ametembea tu na rafiki yako na ukaja kupata mwingine ambae ndio ana worst past life, so mi nakushauri kama anaeleweka tulia nae.
Mkuu me natwanga kote kote kama mtandao wa tigoMkuu twende kule, huku sehemu yako ujue !!!! Haaa haaaa (joke)
Ukishaoa usiruhusu kupata taarifa zngne juu ya mkeo ambazo hukuwa unazijua before.Hii kitu simshauri. Itamtesa sana kisaikolojia, kijamii, kisiasa, kitamaduni na kisayansi pia.
Vipi ukija kujua flani alishachakata lakini tayari ushaoa huyo mwanamke??
Nakubaliana nawewe, ila kuna zingine zinakuja bila kuzifukua.. zinakuja automatically !Ukishaoa usiruhusu kupata taarifa zngne juu ya mkeo ambazo hukuwa unazijua before.
yaani ukute jamaa fulani unamjua sio mzuri kabisa.. !!!!Kingine kinachouma unakuta demu anakupenda sana na ana vigezo vyote vya wewe kuweka ndani ila unakuja kujua kuna mtu unaemfahamu alichakata kwa miaka zaidi ya miwili hapo unachoka kabisa
Hapo umenenaUkishaoa usiruhusu kupata taarifa zngne juu ya mkeo ambazo hukuwa unazijua before.
Yaan kama n mimi nmeoa af aje mtu anipe historia za mke wangu ambazo sikuwa nazijua na sikuhitaj kufaham, aki ntamuua.Nakubaliana nawewe, ila kuna zingine zinakuja bila kuzifukua.. zinakuja automatically !
[emoji109][emoji109]Hapo umenena
Haaaa!!!!!Sawa. Waswahili wanasema kizuri kula na Nduguyo
DahHuwa najihis kama siwez kusalitiwa.
Ingawaje katika mahusiano niliyowah kupitia kuna mademu wawili waliwah nisalit
Tena mtu anaenda kupgwa mashine anarud usiku sana ananiambia nkampokee kituon,kwa vile huwa sifikilii kama demu anaweza nisalit nilkuja kugundua baadae sana kwamba alkuwa anaenda kwa bwana aliezaa nae na jamaa alkuwa bado anaendelea kula mzigo
Rafiki yake ni mtu wa karibu sana . Sio wale rafiki oya oya kifupi ni washkaji mno.