Unaweza kuwa tajiri kirahisi, mtaji mdogo tu fanya biashara ya bucha la nyama ya ng'ombe

Unaweza kuwa tajiri kirahisi, mtaji mdogo tu fanya biashara ya bucha la nyama ya ng'ombe

KING MIDAS

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
8,589
Reaction score
16,936
Wazo: BUCHA La NyamaCapital: 4MBidhaa: Nyama ya Ng'ombeKwanza, Biashara hii ni Fursa nzuri sana ikiwa tu itaendeshwa kwa Ufanisi na kwa kutumia vifaa vya kisasa, kwasabb NYAMA inalika kila kona ya nchi. Nataka nikupe mchanganuo mzima kuanzia Mtaji hadi FAIDA inavyopatikana.
GiaGoIGXgAIEUZC.jpeg

GHARAMA:
1. Frame: 150k × 3months (450,000)
2. Mashine ya Kukatia (1.2M)
3. Mzani Digital (Kg40) (120,000)
4. Freezer (200L) (800,000)
5. Visu, mifuko etc (100,000)
6. Mabango (500,000)7. Vibali E.g Leseni, Ukaguzi,Cheti cha Afya, Halmashauri (200,000)TOTAL= Tshs. 3,370,000
GiaGoPOWEAAwC7v.jpeg


Nyama machinjioni 1Kg =8,000
Tuseme utachuku Kilo 75.
75 × 8,000 = 600,000
Usafiri (machinjioni- buchani) 15,000
Jumlisha🙁Vifaa + mtaji wa nyama + usafiri)(3,370,000 + 600,000 + 15,000) + Umeme 5,000
Jumla ni 3,990,000/=

Assume kila siku utauza Kg 50 pekee na hizo 25Kg zitabaki. Ukumbuke sehemu unaweza kulipa kodi ya 150,000 kwa mwezi ni site nzuri, means bado ulikuwa na uwezo wa kutafuta Frame ya 70K au Laki moja, Lkn mimi nimekupendekezea utafute sehemu nzuri kodi 150K. Bei ya buchani = 10K+

Mahesabu:50Kg X 10,000 = 500K TOA Mtaji (50Kg)- 400,000 Mfanyakazi- 10,000
Usafiri hadi buchani- 15,000
Mifuko ya kufungia- 5,000 Umeme- 5k
Jumla = 435K
500,000 - 435,000 #FAIDA (Tshs 65,000)
Everday deposit Bank Tshs 40,000/= Remain with 25K
Kwa mwaka:40,000 X 365 Days = 14,600,000
Kumbuka hiyo ni Bucha moja tu, Times Two (02) butchery.14.6M × 2 = 29,200,000 within 1 Year.
Lengo letu miaka ni miaka miwili.29.2M X Two Years = 58.4Millions
Hapo nimekupigia mahesabu ya Bucha mbili pekee na kila siku utauza 50Kg
 
Hizo 50kgs sijui umeassume wateja 50 kununua kilo 1 kwa siku, sijui umeassume watu wenye migahawa, ila usisahau kuna wa nusu na nusu na robo (3/4) kama waitavyo wao.

Pia, sio yeye tu atakayekuwa na biashara hiyo eneo hilo.
Na sio kila siku watu wanakula nyama.
 
Back
Top Bottom