Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Halafu ka complicate Sana, napinga hiyo issue ila vijana hawana mashine za kukatia🤣😂Sawa mkuu, kikubwa hizi hesabu ni za PDF tuko pamoja.😄
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu ka complicate Sana, napinga hiyo issue ila vijana hawana mashine za kukatia🤣😂Sawa mkuu, kikubwa hizi hesabu ni za PDF tuko pamoja.😄
ewaa Kuna Jamaa ali kuwa ana leta nyama hadi elfu6, sisi tuna uza elfu9Biashara ya nyama ya ng’ombe inalipa zaidi ukijihusisha na ng’ombe za deal😂 ila haki haki utachelewa
bora umekuwa muwazi tuBiashara ya nyama ya ng’ombe inalipa zaidi ukijihusisha na ng’ombe za deal😂 ila haki haki utachelewa
Ngoja aje mkurugenzi wa makampuni anisaidie. Hizi hesabu za kupata laki 2 kwa siku kwa kupeleka mchicha ulaya zinanichanganya sana.Wazo: BUCHA La NyamaCapital: 4MBidhaa: Nyama ya Ng'ombeKwanza, Biashara hii ni Fursa nzuri sana ikiwa tu itaendeshwa kwa Ufanisi na kwa kutumia vifaa vya kisasa, kwasabb NYAMA inalika kila kona ya nchi. Nataka nikupe mchanganuo mzima kuanzia Mtaji hadi FAIDA inavyopatikana.
View attachment 3235498
GHARAMA:
1. Frame: 150k × 3months (450,000)
2. Mashine ya Kukatia (1.2M)
3. Mzani Digital (Kg40) (120,000)
4. Freezer (200L) (800,000)
5. Visu, mifuko etc (100,000)
6. Mabango (500,000)7. Vibali E.g Leseni, Ukaguzi,Cheti cha Afya, Halmashauri (200,000)TOTAL= Tshs. 3,370,000
View attachment 3235497
Nyama machinjioni 1Kg =8,000
Tuseme utachuku Kilo 75.
75 × 8,000 = 600,000
Usafiri (machinjioni- buchani) 15,000
Jumlisha🙁Vifaa + mtaji wa nyama + usafiri)(3,370,000 + 600,000 + 15,000) + Umeme 5,000
Jumla ni 3,990,000/=
Assume kila siku utauza Kg 50 pekee na hizo 25Kg zitabaki. Ukumbuke sehemu unaweza kulipa kodi ya 150,000 kwa mwezi ni site nzuri, means bado ulikuwa na uwezo wa kutafuta Frame ya 70K au Laki moja, Lkn mimi nimekupendekezea utafute sehemu nzuri kodi 150K. Bei ya buchani = 10K+
Mahesabu:50Kg X 10,000 = 500K TOA Mtaji (50Kg)- 400,000 Mfanyakazi- 10,000
Usafiri hadi buchani- 15,000
Mifuko ya kufungia- 5,000 Umeme- 5k
Jumla = 435K
500,000 - 435,000 #FAIDA (Tshs 65,000)
Everday deposit Bank Tshs 40,000/= Remain with 25K
Kwa mwaka:40,000 X 365 Days = 14,600,000
Kumbuka hiyo ni Bucha moja tu, Times Two (02) butchery.14.6M × 2 = 29,200,000 within 1 Year.
Lengo letu miaka ni miaka miwili.29.2M X Two Years = 58.4Millions
Hapo nimekupigia mahesabu ya Bucha mbili pekee na kila siku utauza 50Kg
Au uwe na bahati ya kupata deal ya ng'ombe wa maziwa wagonjwa au vibudu maana hawatupwi!Biashara ya nyama ya ng’ombe inalipa zaidi ukijihusisha na ng’ombe za deal😂 ila haki haki utachelewa