Unaweza kuwa tajiri kirahisi, mtaji mdogo tu fanya biashara ya bucha la nyama ya ng'ombe

Unaweza kuwa tajiri kirahisi, mtaji mdogo tu fanya biashara ya bucha la nyama ya ng'ombe

Kwa dsm mabucha yanauza at least

Mimi kule kijijini kwetu jumapili ukichinja ng'ombe wa kg 150 anaisha hata saa sita haifiki!

Katikati ya wiki unachinja mbuzi au kondoo hata mara mbili

Kwa kijijini kwetu uwe na moto na masufuria basi!

Wanaobisha sijui lkn my father was doing this hata mm nawish kuwa na bucha la kisasa lenye kila kitu so lzm niuze 50kg lkn kuloga muhimu 😂
 
Kijij gani hicho
 
Assume kila siku utauza Kg 50 pekee na hizo 25Kg zitabaki.
Mkuu… biashara haipo ivo!!

Umeangalia FAIDA pekee ila hujaangalia hasara yake. Maana huwezi kufungua bucha leo na ukauza nyama yote leo leo au kilo 50 kama ulivyosema! Ngumu mno.

Hasara/ Changamoto.

1• Nyama ikilala uzito unapungua.
2• Nyama ikilala unashindwa kuiuza.
3•Umelaza nyama umeme ukkatita=uozo.
4• Wauza migahawa ni wadaiwa SUGU.
5• Shoti, Ukinunua Kilo 70 buchan afu ww ukiuza rejareja lazima ikukate kilo, 70-10=60.

Ushauri wangu au mbinu ya kufanya biashara hii.

• Ili upate wateja wengi inatakiwa usinunue nyama MACHINJIONI, inatakiwa ununue ng'ombe kwenye magulio au minada ya kuuzia ng'ombe.

Kitendo hicho kitakufanya upate nyama kwa bei rahisi sana nawe utaweza kuiuza rejareja kwa bei nafuu kiliko mabucha mengine.

Mf… kama bucha nyingine wanauza elfu 10, ww utauza kwa elfu 9,000-9,500, kumbuka kuwa wanunuzi wengi wa biashara hii ni wanawake au wamama wa majumbani hivyo wanajua sana kupanga BAJETI, pia wanaambiana wao kwa wao na wapo tayari kuhama bucha moja kwenda jingine ili kupata unafuu huo wa BEI.

• Pia kama upo mjini unaweza kuzunguka huku na huko kwa kutafuta migahawa midogo midogo na mikubwa zaid ya mi5 ili upate ODA ya uhakika kwa kuwauzia nyama KILO zaidi ya 10 kwa siku ili iwe rahisi kukaa kwa muda na kuwazoesha watu wa majumbani na kujua kuwa nyama nzuri inapatikana kwako.
 
Shukrani Kwa motisha Kiongozi

Kumbe tunaweza kukopa milioni 10 ukafungua bucha mbili, ambapo Kwa mahesabu hayo, baada ya Mwaka unakuwa umelipa deni na Faida ya almost 10M inakuwa imepatikana

Subscribed 👊
Jich
Kuna mtu niliwahi kutaka kumfungulia hiyo biashara

Kabla mambo hayakaa sawa nikabadiri mipango baada kusita.

Nadhani hiyo biashara inahitaji research ya kutosha kabla hujafanya
Yes yani kwa kifupi usije ukaingia kichwa kichwa kama alivyo eleza hapo kwenye makaratasi, uhalisia n tofauti kabisa yaani🙌
 
Ukinunua NYAMA za wizi BIASHARA lazima utaiona mbaya. Maana jina lako litachafuliwa vibaya pia utakuwa na maisha ya kukaa MAHABUSU mara kwa mara.
Nawajua majambazi wenye mabucha na ndio kazi zao kununua za wizi ila hawana furaha unawaona tu na wanakufa kwa pressure na kisukari kwa sababu ya life style wanayobadilisha pindi wanapopata hela
Yaani umekulia ugali na dagaa na maharage miaka 30 halafu mara unaanza kula chips mayai na mishikaki kila siku utaacha kufa
Hata tumbo linashangaa
 
Nimewahi kushu
Kwa dsm mabucha yanauza at least

Mimi kule kijijini kwetu jumapili ukichinja ng'ombe wa kg 150 anaisha hata saa sita haifiki!

Katikati ya wiki unachinja mbuzi au kondoo hata mara mbili

Kwa kijijini kwetu uwe na moto na masufuria basi!

Wanaobisha sijui lkn my father was doing this hata mm nawish kuwa na bucha la kisasa lenye kila kitu so lzm niuze 50kg lkn kuloga muhimu 😂
Nimewahi kushuhudia ulaji wa nyama maeneo ya Shimbi yaani siku ya Jumapili na Alhamisi nyama hata uchinje ng'ombe 3 wanaisha siku hiyo hiyo, na nikabaini mtu kama yuko maeneo ya Rombo hii fursa ni nzuri sana.
 
Back
Top Bottom