Unaweza kuwa tajiri kirahisi, mtaji mdogo tu fanya biashara ya bucha la nyama ya ng'ombe

Nimewahi kushu

Nimewahi kushuhudia ulaji wa nyama maeneo ya Shimbi yaani siku ya Jumapili na Alhamisi nyama hata uchinje ng'ombe 3 wanaisha siku hiyo hiyo, na nikabaini mtu kama yuko maeneo ya Rombo hii fursa ni nzuri sana.
Hata Mimi ni wa Rombo Tarakea ko kitu ni kile kile...... Yaaan ng'ombe wanalika sana

Au bucha za nguruwe daily unauza! Nashukuru kwa kuwa Shahid hapa najua wapingaji wapo!
 
Ni kweli Mkuu, mambo ya kwenye writings na ground huwa ni tofauti sana

Unaweza kukopa kisha kujaribu kuingia Kwenye hiyo biashara ukabaki na madeni tu huku Mtaji ukikata bila returns
AchaaaπŸ™Œ
 
Tajiri mimi nakushukuru hili wazo tayari nilishaongea na My Wife.

Sina mtaji ila naanza kujikusanya kwa maeneo niliyopo nahitaji kama 2M tu.

Hiyo Mahsine ya 1.2M naachana nayo kwanza naanza na Mapanga na visu na gogo la Mti🀣🀣
 
Biashara ya nyama ya ng’ombe inalipa zaidi ukijihusisha na ng’ombe za dealπŸ˜‚ ila haki haki utachelewa
Una manisha ngombe za wizi?🀣🀣

Mtoa mada ametwambia unakunja elfu 40 kila siku.

Hajatwambia ada ya watoto unalipaje, kodi, chakula nyumbani na mlo wako binafsi kwenye hizo harakati.

Lakini ni wazo zuri watu wanaishi humo
 
Tajiri mimi nakushukuru hili wazo tayari nilishaongea na My Wife.

Sina mtaji ila naanza kujikusanya kwa maeneo niliyopo nahitaji kama 2M tu.

Hiyo Mahsine ya 1.2M naachana nayo kwanza naanza na Mapanga na visu na gogo la Mti🀣🀣
Hizo zana kijijini ndo zenyewe mashine umkatie mtu mifupa watakususia πŸ˜‚
 
Biashara ya nyama ya ng’ombe inalipa zaidi ukijihusisha na ng’ombe za dealπŸ˜‚ ila haki haki utachelewa
Deal=wizi?πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ’ΊπŸ’ΊπŸ’Ί
 
Kwa hiyo wewe ni mtoto wa kigagula!
 
Biashara ya maandishi kuiweka kwenye fremu ni mtihani mwingine.....kikubwa umesomeka
 
Umepiga mahesabu ya kodi 3 months alafu unawela faida ya mwaka mzima?! How? Hiyo miezi mingine 9 unapanga bure? Hizo kilo 50 unadhani kila siku ni sikukuu? Ukijitahidi sana Kilo 20 shukuru! Angalau ukiwa mfugaji mwenyewe kidogo utaona faida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…