Unaweza kuwa tajiri kirahisi, mtaji mdogo tu fanya biashara ya bucha la nyama ya ng'ombe

Ngoja aje mkurugenzi wa makampuni anisaidie. Hizi hesabu za kupata laki 2 kwa siku kwa kupeleka mchicha ulaya zinanichanganya sana.
 
Biashara ya nyama ya ng’ombe inalipa zaidi ukijihusisha na ng’ombe za deal😂 ila haki haki utachelewa
Au uwe na bahati ya kupata deal ya ng'ombe wa maziwa wagonjwa au vibudu maana hawatupwi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…